bb curve 5 inauzwa 300,000

bb curve 5 inauzwa 300,000

Erca uisso

New Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Bb curve 5(full touch aina button) ipo kweny hali pouwa na accessories zake zote, imetumika miezi 2 inauzwa 300,000
 
Ok mkuu nahitahi kuinunua hiyo bb tukielewana,ila kwanza unieleweshe jinsi ya kujiunga na internet maana nilikuwa na bb mpaka nimeiuza kila ukitumiwa settings inasema simu yako haina bookmark services kwa line ya air tel.pls
 
Nitafute kwa 0767908740 ntakuelekeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom