Recent content by sia2014

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Kazini TPDC

    mbona bado, nyie mnaongelea post gani? zile za mwezi wa tano bado
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    vipi kama mtu alipata tamisemi alafu hakuripoti, akija kupata baadae kwenye mashirika inakuwaje?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Kazini TPDC

    nimeitwa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini: Tume ya utumishi wa mahakama

    hata mimi nahitaj kujua
  5. S

    JamiiForums Tanzania Anayejua kutengeneza soseji karibu

    Napenda sana hii kitu nikila najiuliza hivi wanatengenezaje?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Kazini TPDC

    si kweli
  7. S

    JamiiForums Tanzania TPDC Oral vipi?

    mabona hatuambiani jamani
  8. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara nchi ya Thailand

    hakuna ubaya ila nilikuwa nafikiria uhuru zaidi ntakuwanao nikiwa na mwanamke mwenzangu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara nchi ya Thailand

    jamani mi nahitaji mwanamke mwenye uzoefu wa huko, aniambie siku anayokwenda kuchukua mzigo niongozane nae akanipe uzoefu. ntamlipia ticket ya kwenda na kurudi ila malazi na chakula atajitegemea. NB. Awe mwanamke, na mimi ni KE
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards

    hall of fame ina maana gani? kwa anayejua
  11. S

    JamiiForums Tanzania Biashara safi: Anza na mtaji wa chini sh. 2,000/=

    ijojoo! mboni ngase juandiki samatengu. koto isoli kanono
  12. S

    JamiiForums Tanzania Line ya M-pesa unauzwa!!

    bei gani? alafu naweza kununua hapa ikaenda kutumika sehemu nyingine kama iringa? maama sina uelewa wa kutosha
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je Boxer bm.150 ndo pikipiki yenye nguvu kuliko Toyo? 150?

    vipi bei ya hizo boxer kwa mwaka huu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja bomba mbili Dar

    jamani bomba mbili si ipo songea?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    watu wanatafuta kaz kwenye hili jukwaa wewe unaongelea mambo ya nyumba ya mil 400. duuh!
Back
Top Bottom