usiniambie wameshanitema!nasikia TPDC wameita watu kazin tangu juzi
taarifa huwa zinawekwa humu humu mkuu, pamoja na kwenye website yaoMimi cjui izo nafas za tpdc zinatangazwaje maana utaskia tu mara watu wapo kwenye usaili ebu mnijuze wangwana
usiniambie wameshanitema!
usiniambie wameshanitema!
mbona bado, nyie mnaongelea post gani? zile za mwezi wa tano badotukodi turubai tuweke msiba..dah ndio nilipokua nategemea
mbona bado, nyie mnaongelea post gani? zile za mwezi wa tano bado
si unaambiwa watu washaanza pigiwa simu. kwnn wewe useme bado.
Kuna jamaa keshaitwa hizo za may chemical engineer
Yaweza kuwa ni kweli walishaanza kuita, maana hata mie nimepata taarifa za huyo jamaa research officer (chemical & process) kuitwa na tar 20 atasign contract then tar 26 ni siku ya kuanza kazi. So yaweza kuwa washaita watu kwa ile intervw ya may, ila hii ya hiv karibuni inaonekana bado.