TPDC Oral vipi?

TPDC Oral vipi?

As long as jina lako lime appear kwenye rangi ya kijani kwenye yale matokeo ya written nenda tu, may be walikupigia network ikasumbua ukawa not reachable or muda bado utapigiwa simu.

kwani wewe ulipigiwa? jambo hili linanipa wasiwasi sana kwa sababu mpaka sasa sijapigiwa
 
Kila kitu kinawezekana. Jipe imani mtayashinda magumu mnayopitia
 
Bwana mbuyula acha kupoteza muda kuwaza kuhusu kupigiwa cm au la. Ni kwamba hawa jamaa kwenye web yao waliandika kuhusu kucontact watu via cm lakin inavyoonekana hawakufanya hivyo. Group letu wote hatukupigiwa cm hivyo tulienda kwenye intervw with the guide of info dat was given ealier in the tpdc web that we were selected and eligible for the forthcoming oral intetvw. So kwa ufupi kama ulipass their written test as the results were punched on their web, please dont waste time to wait their call instead get prepared to attend oral intervw.
 
Mwana we ushapita, Nakuombea kila Heri

Wacha nirudi upya nipige msuli kama nipo shule

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Bwana mbuyula acha kupoteza muda kuwaza kuhusu kupigiwa cm au la. Ni kwamba hawa jamaa kwenye web yao waliandika kuhusu kucontact watu via cm lakin inavyoonekana hawakufanya hivyo. Group letu wote hatukupigiwa cm hivyo tulienda kwenye intervw with the guide of info dat was given ealier in the tpdc web that we were selected and eligible for the forthcoming oral intetvw. So kwa ufupi kama ulipass their written test as the results were punched on their web, please dont waste time to wait their call instead get prepared to attend oral intervw.

nashukuru mkuu, ila wameshanipigia leo jmosi sa nne asubuhi
 
mm nlipigiwa jana wakati nmeshafika eneo la tukio kabla ya kuanza saa tatu tulianza saa saba dah ......... njaaaa
 
Back
Top Bottom