Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Niikua naomba kujua DUCE ni shirika la umma au ni chuo cha serikali au sababu ,scale zipo tofauti

Duce ni university college yachuo kikuu cha dar es salaam na kimfumo vyuo vya serikali km UDSM,UDOM n.k ni mashirika ya umma.
Ndo maana hata magari yao yamesajiriwa km SU....
 
Mkuu fata taratibu utahamishiwa chek namba yako.watumoshi wote wawe wa tamisemi au mashirika ya umma lazima uwepo hazina
 
Huyo anakupoteza.iwe tamisemi.tra.tanesco n.k wote ni serikali na wapo payroll moja.Sema ufate taratibu uhamishe datasheet vingnevyo hutoingia payroll mara ya pili.Kama unabisha nenda lkn kuna siku utarudi hapa kuniambia lbda ubadili majina kitu ngumu sana.
Mimi ni shahidi nimetoka tamisemi kutaka kuja duce.ilikuwa mbinde hadi leo hakijaeleweka karibia mwaka.Tatizo nshafutwa payroll lkn system inanitambua tu.Na kitu nilichokuja kujua na sishauro mtu ufanye ni kuondolewa payroll ya serikali aisee kurudi utasota.
vipi kama mtu alipata tamisemi alafu hakuripoti, akija kupata baadae kwenye mashirika inakuwaje?
 
Back
Top Bottom