ENG. MABOMBA
Member
- Jul 14, 2014
- 7
- 0
"uongozi wa juu" wa hii corporation wote umepanguliwa. so, unavuoteuliwa uongozi mpya, issue ya zile nafasi iko pending..
So tutegemee mpaka lini? Just give the prediction plz
"uongozi wa juu" wa hii corporation wote umepanguliwa. so, unavuoteuliwa uongozi mpya, issue ya zile nafasi iko pending..
"uongozi wa juu" wa hii corporation wote umepanguliwa. so, unavuoteuliwa uongozi mpya, issue ya zile nafasi iko pending..
"uongozi wa juu" wa hii corporation wote umepanguliwa. so, unavuoteuliwa uongozi mpya, issue ya zile nafasi iko pending..
Eng kwan sasa hivi huna kazi?... Wewe endelea na mishe zako, hiyo Riski kama ipo ipo tuuuu
I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
nimeitwaMmeshaitwa?
Sent from my iPad using JamiiForums
"uongozi wa juu" wa hii corporation wote umepanguliwa. so, unavuoteuliwa uongozi mpya, issue ya zile nafasi iko pending..
acha kukatisha watu tamaa. msijali soon mambo yatakuwa tayariHii kitu mpaka mwakani tena baada ya budget
nimeitwa
Mweeeeeeeee........MUNGU wewe ni tegemeo letu bariki mchakato huu. Amen