Kuitwa Kazini TPDC

Kuitwa Kazini TPDC

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Wadau mwenye ndugu zake au rafiki atuulizie hayo majibu ya Oral yatatoka lini, tutoe kabisa 28 days resignation notice maofisini mwetu

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
mmmh wengine mwawaza kuacha mpate nyingine ilihali wengine hawana kbs
 
Tulia kijana long way to go mradi wa pipelines na Gas processing plants haujakamilika bado, mchakato wa kutafuta rasilimali watu umeanza mapema sana possibly mnaweza kuitwa kuanza ajira kati november mpaka january 2015 na wengine wataanza ajira march na april 2015
 
si kweli
 
Well ukiangalia interview zao they didnt care anything about experience, Means kutakua na training first kabla ya kuanza kazi, so lazima itakua mapema kabla ya hiyo sept i guess

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Well ukiangalia interview zao they didnt care anything about experience, Means kutakua na training first kabla ya kuanza kazi, so lazima itakua mapema kabla ya hiyo sept i guess

In this world nothing is certain than Tax and Death.

Absolutely mkuu
 
Bado hawajaita ukiwapigia simu wanasema bado mara ofisi za mtwara bado nyingine zinajengwa hazijakamilika
 
"uongozi wa juu" wa hii corporation wote umepanguliwa. so, unavuoteuliwa uongozi mpya, issue ya zile nafasi iko pending..
 
Back
Top Bottom