Recent content by shukurumasterj

  1. shukurumasterj

    Nashauri Alikiba anyang'anywe ubalozi wa tembo

    Labda upewe ww mwenye takwimu sahihi sio
  2. shukurumasterj

    Huu ni mmea gani?

    Huu mti ni mkamba kamba kwa kitaalamu unajulikana kama Roperope tree ni dawa ya magonjwa ya kina mama
  3. shukurumasterj

    Natafuta ofisi za Ubalozi wa Singapore hapa nchini

    Habari za jioni wadau. Naomba kujua office za ubalozi wa Singapore hapa Tanzania zinapatikana sehemu gani hapa nchini.
  4. shukurumasterj

    Namna gani simu yangu itumie line zote!

    Habarini za wakati huuu wakuu. Nina shida simu yangu nataka itumie line zote kwa sasa natumia tigo tuu ni HUAWEI 330
  5. shukurumasterj

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Habarini za saizi wana jukwaa hope mko vyema sana.Mimi nilikua naomba kwa yeyote yule mwenye updates zozote kuhusian na coz ya human resource management katika kazi na masomo chuoni inakuaje please naomba update
  6. shukurumasterj

    Watu wanakwenda University/Chuo ili iwe nini?

    akya mungu tupe hayo maarifa tu watu tujitambue
  7. shukurumasterj

    Tukutane hapa tuliomaliza Old Moshi

    hapana mkuu,nimemaliza 2015
  8. shukurumasterj

    Ushauri unahitajika

    Daah poole sana,we pita >>>>>>>>>>> tu wala usiweke tumain
  9. shukurumasterj

    Lazima nishambuliwe kwa mada ya leo

    jaman rud kwa part one tuu
  10. shukurumasterj

    Tukutane hapa tuliomaliza Old Moshi

    Habari za wakati huu wakuu, mimi nimemaliza old boys mwaka huu, naomba kujua wanajamvi wenzangu waliomo huku ndani
  11. shukurumasterj

    Naomba uzoefu kwa wanaoijua kambi ya JKT Mlale

    iv mahitaj gan yanahtajika ka vile vitu vya kwenda navyO
  12. shukurumasterj

    Naomba uzoefu kwa wanaoijua kambi ya JKT Mlale

    Jaman wanaJF habari za wakati huu, Naomba mwenye uzoefu au anayeijua kambi ya JKT Mlale anipe details
  13. shukurumasterj

    Nafasi za kusoma Chuo Kikuu Havard zinapatikana Tanzania?

    Hope mko na jumamos njema wana jf..mim nataman sana kwenda kusoma harvad hasa masomo ya sheria katk ngaz ya degree(LLB/JD),Naomben ushauri wenu wadau
  14. shukurumasterj

    Tunaelekea Rombo kikazi

    wamepitiwa na jinamiz
Back
Top Bottom