Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,123
Huo mti ni common sana, kwa jina nililolifaham mimi ni mlangamia
Ht hizi ni climbers pia lkn hazina rangi. NishazionaZipo kama hizi![]()
Ila zenyewe ni za njano epiphyte zinatandaa juu ya michongoma iligundulika Kilimanjaro mountain IPO sana kaskazini.
Huu mti ni mkamba kamba kwa kitaalamu unajulikana kama Roperope tree ni dawa ya magonjwa ya kina mamaSalaam JF,
Leo katika pitapita zangu somewhere in Tanzania nikakutana na huu mti ulio na kambakamba kama neti. Je! Huu ni mmea gani?
View attachment 403248
😱😱Huu mti ni mkamba kamba kwa kitaalamu unajulikana kama Roperope tree ni dawa ya magonjwa ya kina mama
UnatumiajeTiba y'a chango LA akina mama
Acha uongo. Mbona unaota kwenye michungwa na yote inazaa.Unaitwa MVELI
Na huwa unaota juu ya mti ambao upo pair,yaani mti wa kike na wa kiume
Sasa wenyewe huota kwenye Mti wa kike,na ndio maana kwenye picha ukiangalia utaona pembeni kuna Mti wa Kiume,haujavaa VELI ila huo wa Kike ndio Umeota huo Mveli
Tatizo lake moja tu,harusi yake haiishi,veli halivuki mpaka bi harusi afe.Subiri mti jike ufe ndio na wenyewe unakufa