boobookitty
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 255
- 174
- Thread starter
- #41
Jifunze kuandika kwa lugha inayofahamika,Kiswahili kibovu,English mbovu!! Kazi kupoteza time yako na kuchat na watu usiowajua!!
Kazi kucoment post ya usiemjua
Jifunze kuandika kwa lugha inayofahamika,Kiswahili kibovu,English mbovu!! Kazi kupoteza time yako na kuchat na watu usiowajua!!
Nyie ndo wale mkiolewa hamridhiki na mume mmoja, mnabaki tuu kuangaika na out going feelings za muda tuu. Hongera zako unaebaba Ndoo na kidumu.
Nimempenda bure boobookitty
jiangalie sana sikunyingne uta "bakwa" we angaika tu utachezewa mchezo mpka uhone dunia chung akya god me nkuangalia tu
why not baby part one?
Nlikua nampango Wa kumdrop Wa kitaa
I hope you realize you cannot play these,games for long.
Otherwise a time will come and you will despair for a man to look at you twice let alone be committed to you.
Find a man, settle down.
You can never really win against men.
Yeap.. Hamna Wa peke yako.. One in a million
Ata angenisamehe still asingeniamini na nisingekua comfortable
Bora wewe umesema upande mwingine wa maisha yako. Hayo maisha wanaishi wanawake/wanaume wengi tu.
Ni vizuri ukishagundua hilo, uachane na maisha hayo coz hayakupeleki popote isipokuwa maradhi na kuumizwa kihisia..