shukurumasterj
Member
- Apr 3, 2014
- 19
- 9
Habari za wakati huu wakuu, mimi nimemaliza old boys mwaka huu, naomba kujua wanajamvi wenzangu waliomo huku ndani
Shukuru ni wewe ulimaliza Form six 2005??
hapana mkuu,nimemaliza 2015