Recent content by SHUGURAN

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tabia ya baadhi ya waumini kwenda katika nyumba za ibada na kulala usingizi

    imezuka tabia ya baadhi ya waumini kwenda katika nyumba za ibada na kulala usingizi kabisa kana kwamba hawajui madhumuni ya nyumba hizo,utakuta mtu anakoroma kabisa wakati ibada inaendelea,tuwe wastaarabu kuheshimu nyumba za Mungu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Unabii wa TB Joshua watimia

    Haaahaaa nyota yangu ni GEMINI, wiki hii utatokea mbishano mkubwa ktk bunge la katiba
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

    Tatizo n kwamba wabongo tunapenda kufuatiliana sana,mtu akibeba kibegi chake unataka kujua kilichomo,hivi kwnn?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Usiamini mtu yeyote, imenitokea soma itakusaidia

    Ukimkamata cku nyingine muoneshe hadharani ,maana hicho kitu anaweza kuwafanyia hata wazazi wake.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Walevi wa pombe someni hapa

    Waliofanya tendo hilo la ulawiti hao ni mashetani tu wanaweza kumlawiti hata maiti,kuna faida ipi hapo.ni kweli ulevi noma lakini tukemee vitendo hivi ktk jamii.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Argentina ashangaza dunia

    nasikia kwamba Rais huyo hapendi mpira wa miguu, anapenda mchezo wa CHESS,sasa huwezi kumlazimisha apende soka
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa mnaonunua vitu jeshini Uwanja wa Ndege (Air wing)

    Du makubwa hata jeshini kuna kamchezo kakuongeza bei kiaina.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Taja jina la mtu ambalo ukilisikha linakuchekeshaga

    Mh:Njenga fibili Mwaikugile
  9. S

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo Na Kipindi Chako Cha Amplifier Msitufanye Watanzania Wajinga!!

    Mi sisapoti,ila tuache kukomalia zawadi za promotion
  10. S

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo Na Kipindi Chako Cha Amplifier Msitufanye Watanzania Wajinga!!

    kupenda vitu vya bure ndio matokeo yake,na king'amuzi chako kina delay we unajiona ndo wakwanza kumbe balaa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

    kama tatizo ndizi vip wahaya na wachaga wana sura ngumu?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

    kama tatizo ni ndizi je wahaya na wachaga wana sura ngumu?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Foleni Dar es Salaam

    mkandarasi anae tengeneza barabara ya Morogoro anaboresha service road kwa ajili ya waendao kwa miguu,kwa hiyo dawa ni kutembea
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    simba luwala,ubungo-posta
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Simba luwala,ubungo posta
Back
Top Bottom