Mkuu watu wengi hutaka evidence za picha, Okay........kama hizo picha ni za kudharilisha naomba MODDS wazifute na waifunge hii Topic, ila ukweli utabakia palepale..ULEVI NI NOMA: Sura ya muhusika nimeificha sasa hapo udharilishaji upo wapi? Au mnapenda vitu vya uwongo uwongo?....mwenzio akinyolewa na wew tia maji..ukiuwa kwa upanga utauawa kwa upanga ..umemuanika mtandaoni utaanikwa maradufu becare ...udhalilishaji sio kitu kidhuli hata km ukifanya mabaya kiasi gan ..ungetoa maelezo ingetosha sana watu kujifunza ila picha?? km tupo kwenye jukwaa la matangazo madogo vile.
Mwanaume anayejielewa hawez kumla tigo mtu kimazingira hayo
this author might be gay! i guess,,
Hizo sio bia labda mataputapu,
sisi wanywa bia Tanzania nzima hatunaga hizo, sisi gauge ikisoma 120 wachache wetu huwachukua waheshimiwa mabaamedi aka mkombozi wa mnyonge. Na wengine tukilewa tunawahi nyumbani.
Hii hufanywa na wanaotumia hela zao na si wale wa bia za ofa.
Nimefanya hivyo kuficha kutambulika.
Waliofanya tendo hilo la ulawiti hao ni mashetani tu wanaweza kumlawiti hata maiti,kuna faida ipi hapo.ni kweli ulevi noma lakini tukemee vitendo hivi ktk jamii.
Hivi mtu wa kunyooshewa kidole hapa ni huyo bwana aliyelewa au hao walimlawiti huyu bwana???
wewe acha kabisa washapasi hapo..... ila jaamni watu wanajitafutia magomjwa jamani
Uki doo kinyume na maumbile nyama nyama yaani bila kondom baadae ktk maisha yako utapata ugonjwa wa kushindwa kukojoa. Mifano iko mingi sana. niwaseme ????
Hivi mtu wa kunyooshewa kidole hapa ni huyo bwana aliyelewa au hao walimlawiti huyu bwana???