Usiamini mtu yeyote, imenitokea soma itakusaidia

Usiamini mtu yeyote, imenitokea soma itakusaidia

kaka inamaana shule ya msingi ulisoma kwa miaka mitano!!?? 1996-2001... Ila nikupe pole huyo ukimtaka unampata kirahisi tu mchukulie RB kwanza halafu fuata ushauri wa wadau waliouweka humu Einstein
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyo umemlea tu. Kwanza ungeenda kuchukua RB just kuwa nayo. Halafu, ungemchukua askari on personal basis (unampa elfu 20) maadam alikuwa anapokea simu, mnamtafuta mtu wingine (mwanamke) anampigia simu anamwekea miadi then nanyi mnakuwa hapo hapo. Anabinywa pu.mbu huyu atasema tu simu ipo wapi au kauza wapi. Yeye na aliyenunua hiyo simu wamenunua kesi....
 
Pole sana,mioyo ya watu imebadilika sana. Kwa kuwa huyu jamaa ni tapeli na inawezekana akatumia simu/laini yako kufanya uhalifu mwingine ni muhimu sana kwenda polisi ukaweke kumbukumbu zote za tukio lako,
 
Pole sana Mkuu
ulichofanya ni cha busara kwani Simu alishaiuza na ungetima tena pesa (40,000/=) angeizamisha
uwe mpole tu kwa sasa atajisahau
lkn akirudi tu mmmmalize
au ulizia anakofanya kibarua chake na wewe kamwage chumvi katika mboga yake

Mm yalinikuta kwa binamu yangu alikuwa akifanya kazi Kampuni la CCCC la Kichina kutengeneza barabara ya Dom Iringa aliniletea zegembe mpaka ktk familia
basi niliuwasha moto kwa Mabosi wake na walipolinganisha uongo/ukweli wangu walimtimua sasa yupo kijiweni na anajipitishapitisha
 
Kwanza Pole sana kwa hili.
Hembu tuambie yafuatayo:
a)Huyu mtu kwa mwaka uliomaliza shule ni kwamba Picha zake zipo,hembu weka hapa,kama huna marafiki zako wanazo.
b)Weka number yake ya simu hapa,ili kama kuna mwana JF anamjua atakusaidi kiurahisi
c)Kama mliosoma waote shule ya msingi ni kmwaba hata familia zenu zinajuana,wasiliana na familia yake

Mie sijawahi kumiliki sim ya zaidi ya laki na nusu maisha yangu yote,sasa hili ni somo pia.Mchina kaleta Galaxy ya bei rahisi na inafanya kama hayi yako,na wenzio wanakuwa wana cc documnets kwenye Private email account au laptop kwa dharura kama hizi.Ni Somo kwa wengine pia, simu laki 6 - 1 m?
 
unajua watu walioonewa kama wewe, waliungana wakaanzisha umoja wao. ukijiunga nao, hakuna atakae kufanyia upuuzi wowote chini ya hili jua.
Hata hiyo simu ukiitaka itarudi.
Karibu.
 
Einstein acha ubwege.
Kachukue RB utulie nayo ili popote utakapomuona unamkamata.
Hifadhi hizo text msg ulizokuwa unawasiliana nae.
Ila kama unaona urafiki ni bora kuliko kingine endelea kulia peke yako wakati mwenzio kashabadili status from "friend'' to.......''...''

Kazi ni kwako bhana
Najua hayanihusu
 
Last edited by a moderator:
Thanx All..

Nitampata tu kokote alikojificha.


 
Huyu jamaa amekosa utu kabisa akili yake mbovu sana aisee
 
Kwa jinsi ulivykokuwa unamwamini shukuru kwamba kakuibia kitu kidogo kama simu, maana ungepoteza kikubwa zaidi ya hiyo simu kama huyo jamaa angejipanga sawa
 
Ukimkamata cku nyingine muoneshe hadharani ,maana hicho kitu anaweza kuwafanyia hata wazazi wake.
 
Kwa imani na huruma nakupa POLE !! lakini ndg. huu ni Uhuni,unyama wa baadhi ya wananchi wenzetu !
 
Back
Top Bottom