Unabii wa TB Joshua watimia

Unabii wa TB Joshua watimia

Pia alitabiri Obama ataanguka atakimbizwa Hosp. Hapo c anguko la Obama ni anguko la marekani na maandiko yatatimia muda c mrefu . viva Mr. Puttin
Maandiko yapi mkuu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Naomba kuuliza.
Tuchukulie mfano kuwa ni kweli jamaa anatabiri vitu na hutokea. Hii ina mantiki gani kwangu kama binadamu mkristo (au hata muislam)?
Maana kama ni kubashiri mwisho wa dunia na hivyo tujiandae wengi wenu mtakua wanafiki tu maana maandalizi yenu ni ya woga na wala si ya dhati ya kupenda kufwata njia ya Mungu.
Swala mwisho wa dunia na utabiri halitakiwi kumshtua hata punje muumini wa kweli wa hayo madhehebu yenu.

TB Joshua ni mfwatiliaji mzuri na wa kina sana katika mambo ya dunia. Kuanzia politics mpaka tabia nchi. Anachofanya ni intelligent guesswork tu navyoona mimi, bado sijaamini kama ana extra powers and more specifically from God.

Ukiwa mfuatiliaji wa masuala gani utaweza kutabiri kwamba mwaka fulani kutakuwa na ajali nyingi za anga?

Keep on fooling yourself.
 
Haya tenaa, wale wabishi wanabishana na Redio. Hapa tena TB Joshua anathibitika,mwanzo Wa mwaka alisema ombeni kwa ajili ya russia,akasema vita itaibuka kinyume yake ,ata pressure itakuwa kubwa hata italilemea taïfa hilo. Lile nililokua nangojea kuliona ni pale aliposema,mataifa yataungana kupigana na urusi. À ha sasa leo nimeona, Majeshi ya ushirika Wa ulaya (NATO),yamepeleka silaha na kiasi cha askari 4,000 kupigana na urusi.Mungu awasaidie lakini nimeona.

Hakuna Nabii hapo
 
He is a Man of God
 
Kwanini asiombee yasitokee maafa!! Huwa nashindwa kuwaelewa watu mnaowaamini wa-Nigeria, hawa jamaa ni waongo, matapeli, waliotumwa kutafuta pesa Kwa kila njia

Hata Bwana Yesu aliambiwa kama yeye ni mwana wa Mungu ashuke msalabani.
 
Naomba kuuliza.
Tuchukulie mfano kuwa ni kweli jamaa anatabiri vitu na hutokea. Hii ina mantiki gani kwangu kama binadamu mkristo (au hata muislam)?
Maana kama ni kubashiri mwisho wa dunia na hivyo tujiandae wengi wenu mtakua wanafiki tu maana maandalizi yenu ni ya woga na wala si ya dhati ya kupenda kufwata njia ya Mungu.
Swala mwisho wa dunia na utabiri halitakiwi kumshtua hata punje muumini wa kweli wa hayo madhehebu yenu.

TB Joshua ni mfwatiliaji mzuri na wa kina sana katika mambo ya dunia. Kuanzia politics mpaka tabia nchi. Anachofanya ni intelligent guesswork tu navyoona mimi, bado sijaamini kama ana extra powers and more specifically from God.

Chukua muda wako mchache tu kumsikiliza utapata majibu ya maswali yako mengi tu. Hata mimi nilikuwa mpinzani wake sana tu..hasa Nigerians.
 
TB Joshua aliwahi kutabiri kwamba wale mabinti waliotekwa na boko haram wangepatikana kwa muda mfupi sana . Lakini mpaka sasa hakuna dalili. Huyo nabii hua anaotea tu
 
Kila unabii unatakiwa ujue sehemu yako ya kufanya,sasa alisema lakini serikali ingeenda nae wangewapata. Nabii mkubwa ni mungu mwenyewe,aliwaambia atawapa Canaan,wakaogopa basi wakakosa Canaan,si ajabu.
 
Haaahaaa nyota yangu ni GEMINI, wiki hii utatokea mbishano mkubwa ktk bunge la katiba
 
Kwanini asiombee yasitokee maafa!! Huwa nashindwa kuwaelewa watu mnaowaamini wa-Nigeria, hawa jamaa ni waongo, matapeli, waliotumwa kutafuta pesa Kwa kila njia

We nawe hufikirii,mtu anayetafuta pesa anawagawia maskini na wajane na kulipia vyuo wanafunzi. TB joshua anafadhili zaidi ya wanafunzi 1500 vyuo vya ulaya na marekani. Watafuta pesa ni akina mengi,azam ,hatuoni wakimwaga fedha kizembe kama TB joshua
 
Kila unabii unatakiwa ujue sehemu yako ya kufanya,sasa alisema lakini serikali ingeenda nae wangewapata. Nabii mkubwa ni mungu mwenyewe,aliwaambia atawapa Canaan,wakaogopa basi wakakosa Canaan,si ajabu.

Walikosa au walichelewa kuipata?!
Na huyo Kifua kikuu (T.B) je??!
 
Jamani huyu TB Joshua ni nabii gani? Nimepitia Agano la kale na jipya sikumuona, ebu nikumbusheni kidogo.
 
Back
Top Bottom