Recent content by SHOOyaKIBABE

  1. SHOOyaKIBABE

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sorry hayo makato naangalia wapi kwenye ESS? Naomba unielekeze
  2. SHOOyaKIBABE

    Wanaume ambao hawana mpango kuoa hebu njooni mtueleze nini kiliwafanya mfikie maamuzi hayo

    Because trust is not guaranteed, previous experiences, pia the unpredictability ya wanawake (although hii inatuhusu all humans) vimenifanya niyakaushie hayo mambo.
  3. SHOOyaKIBABE

    Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

    [emoji38][emoji38][emoji38] dah aisee
  4. SHOOyaKIBABE

    Je, ni bora uwe kwenye mahusiano na mtu unayempenda lakini humwamini au unayemwamini lakini humpendi?

    Bora nnayemwamini ila simpendi. Trust ni moja ya kitu kikubwa kinachovunja mahusiano kwa mtazamo wangu, kuliko upendo wenyewe. Trust is not guaranteed, even katika ndugu zako au rafiki zako au staff wenzako, so when you find a person ambae kwa kiasi kikubwa (kama si chote) huna doubt na...
  5. SHOOyaKIBABE

    5 Government Jobs At TANROADS In Morogoro Region, April 2021

    Driver - 460k W/O - 1.2 m S/I - 1.5 m
  6. SHOOyaKIBABE

    Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

    Kuna mtu anaanza kum consider.. play your cards right chief
  7. SHOOyaKIBABE

    Miaka 10 baada ya kumaliza chuo bado sina kazi

    Nimekutumia ujumbe PM.
  8. SHOOyaKIBABE

    Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

    Chief, please advise smartphone nzuri kwa budget ya Tsh 500k. (new) Brand ya Samsung, ila kama kuna other options I'm ready to listen. Nakuwa mtandaoni muda mrefu na pia kusikiliza music kwaio nikipata yenye uwezo wa 4G, RAM kubwa na yenye long life battery itapendeza. Ahsante
  9. SHOOyaKIBABE

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Operations Clerk.. Wanapigiwa wa kada ipi?
  10. SHOOyaKIBABE

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Nahisi hadi wa Brela wataitwa kazini sisi bado
  11. SHOOyaKIBABE

    Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Na sababu za kuchelewesha hata hazijulikani dah.. Wasichomeke watu tu
Back
Top Bottom