Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 1,740
- 4,230
Mahusiano hujengwa na vitu vingi kama mapenzi, imani, huruma n.k towards mwenzi wako. Mahusiano 'ideal' ni yale ambayo unampenda, unamthamini, unamhurumia, unamuamini, unamtamani mpenzi wako. Lakini mara nyingine unaweza kulazimika kukubaliana na hali na kuchagua vita yako ya kupigana.
Je, ikitokea umepewa chaguo kati ya kuwa na mtu unayemwamini bila kumpenda na unayempenda bila kumuamini utachagua ipi?
Je, ikitokea umepewa chaguo kati ya kuwa na mtu unayemwamini bila kumpenda na unayempenda bila kumuamini utachagua ipi?