Recent content by shonge

  1. S

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo

    Onyonya Ukunonze is the right spelling.
  2. S

    JamiiForums Tanzania ha ha ha weekend njema

    FL1 umeleta issue ambayo kwa kweli ipo, hasa kwa miaka hii ambayo ndugu zetu hawa vyuoni wanabuni njia mbadala za kufaulu, maana kusoma siyo option ambayo wangependa kuitumia. Kwa kweli inasikitisha, but the only way we can end this ni kuwa na that kind of professors.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Boss azidiwa ujanja.......

    Hapo jamaa kalizwa kweli.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Height of maths logic..

    Wewe lazima umesoma Mti safi. Hiyo terminology 'kicheche/vicheche/ucheche' ni ya kule.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wachaga tu.

    Aika mbe kanyi. Rema seri ya ufongo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Laughter series: Smarter sex....?

    Yeye angemjibu sidanganyiiiiiiiiiiiiiiki
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inapotokezea mke au mpenzi wako kukwambia anavyonifanyia fulani hujawahi kunifanyia.

    Sawa nitataka anieleze (for the purpose of getting educated), but siwezi endelea kuchovya asali kama tayari jamaa mwingine anachovya. mwache aendelee kuchovyeshana na huyo jamaa
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wivu wa kupindukia

    I think pamoja na kuwa watu wana kaimani kuwa wivu kwa mwanamke suna, but wengine (kama huyo) wanapitiliza, kiasi cha kuanya tudhanie kuwa wana'pretend'. You travel on an official trip, then kila saa simu. Hadi inakuchelewesha kumaliza hizo duties. Matokeo yake unachelewa kurudi, to her...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe UMBWE

    Huo mgomo ulikuwa 1998 na sio 1997. Ni katika maswala ya kuweka rekodi sawa tu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe UMBWE

    Msele aliondoka nadhani around 2003. He was a nice headmaster
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mpakanjia is no more!

    Mungu naye anasoma humu?? Maana naona comment addressed to Mungu kuwa amsamehe
  12. S

    JamiiForums Tanzania "I'll be back in an hour!!"

    Kaingizwa mjini na swahiba wake huyo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bibi lakini kigori,....!!!!

    Mmh, na atakoma kweli
  14. S

    JamiiForums Tanzania NBAA Aibu, asilimia 84 wafeli

  15. S

    JamiiForums Tanzania NBAA Aibu, asilimia 84 wafeli

    YoYo from what I read in your comments it's like you want to make people believe that NBAA wana idadi au age limit ya watu kuwa CPAs. I'm not personally going to subscribe to that because I have done the exams myself and I had to change my original position on the matter. hata mie nilikuwa na...
Back
Top Bottom