Bibi lakini kigori,....!!!!

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Bibi mmoja aliolewa mara 3,mmume wa 4 akamkuta bado bikra.
mume akamuuliza kulikoni mambo haya??
Bibi akajibu tena kwa kujiamini:-
Mume wa 1 alikua muuza ICE CREAM,hivyo alikua ananinyonya tu.
Wa 2 mpiga picha,nae kazi ilikua ni kunipigapicha tu.
Wa 3 alikua anafanya kazi bank,naye alikuwa akihesabu SHANGA zangu tu!
Mume aksema basi;mimi fundi BOMBA kijasho kitakutoka mwaka huu,....!!
 
Fundi bomba eeeeeeee huwa anapitisha bomba sehemu nyingine mmmmmm vichakani,kwenyematope naaa na kwenye mashimo,bibi kazi unayoooooooooooooo
 
Fundi bomba ni yule anayetengeneza bomba zilizoharibika.......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom