Wivu wa kupindukia

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Wadau jamaa yangu wa karibu kaniomba ushauri: Anasema memsahib wake ana wivu wa kupindukia,kafikia hatua sasa majuzi kachukua wembe katoboa toboa kufuli zote za mzee kisa eti eti aone aibu kwenda kwa vimwana na kufuli zenye matobo,na kamwambia ole wake azishone au kununua mpya. Kana kwamba hiyo haitoshi kila akirudi si ruksa kusalula bafuni shurti achojoe chumbani mbele ya bi mkubwa na inuswe kama ina harufu yoyote ya kifisadi!Wadau muungwana kaniomba ushauri nimwambie nini?
 
Last edited:
Makubwa madogo yana nafuu......... ya kutoboa tena si ndo wampa nafasi ya kuhudumiwa vyema na small house? akimaliza anaziacha huko huko. Miwivu mingine bana
 
mhuuuu hii kali jamani ashijihangaishe kama jamaa linataka kumcheat haliwezi kushindwa
 
huyo mamsapu hana akili, ikitobolewa ndo anadhani amemkomoa? si atenda nayo ikiwa na matundu kisha ataexplain hali halisi....ndo anampa nguvu za kumega fresh hehehe
 
Aaaah! Aaaah! Mwambie akiona mumewe ameanza kutembea na briefcase hasishangae kwani ndio atakuwa anaweka makufuli ya akiba ya kubadilisha wakati anaenda kwa small house. Kazi kweli kweli wandugu
 
huyo mwanamke ni mjinga tena sana tu hata sikumoja huwezi kumchunga mwanaume. Mwanaume hata siku moja hawezi kuchungika kabisa akiamua kwenda nje anakwenda sana tu kunguru hafugiki..... kwani anauhakika gani huko kazini hafanyi
 
Wadau jamaa yangu wa karibu kaniomba ushauri: Anasema memsahib wake ana wivu wa kupindua,kafikia hatua sasa majuzi kachukua wembe katoboa toboa kufuli zote za mzee kisa eti eti aone aibu kwenda kwa vimwana na kufuli zanye matobo,na kamwambia ole wake azishone au kununua mpya. Kana kwamba hiyo haitoshi kila akirudi si ruksa kusalula bafuni shurti achojoe chumbani mbele ya bi mkubwa na inuswe kama ina harufu yoyote ya kifisadi!Wadau muungwana kaniomba ushauri nimwambie nini?


Kuchungana ni jambo la Mbolea sana...MJI wakati fulani ulileta mada ya namna hiyo.

Lakini mwenzetu huyu amezidisha wivu, maana kazi ya ile kufuli ni kulinda ile mambo ikipata mhemuko idhibitiwe kinamna. Sa ukiichana si itakuwa balaa! Utasababisha jamaa akienda kona aitolee kwenye hayo matundu bila hata kuivua, na kupata cha kushikisha mtu ukuta fasta, ambacho kinasemekana kuwa na ziada ya ze utamu!
 
Aaaah! Aaaah! Mwambie akiona mumewe ameanza kutembea na briefcase hasishangae kwani ndio atakuwa anaweka makufuli ya akiba ya kubadilisha wakati anaenda kwa small house. Kazi kweli kweli wandugu
Sasa Mkuu Sipo akimdaka si ndo atamkata nonino?
 
Sasa Mkuu Sipo akimdaka si ndo atamkata nonino?

Imagine aisee!

na kweli bana, huyo 'mamsapu viwembe' anaweza kumvizia jamaa kauchapa usingizi mara ..."chwaaaaa, ...chwaaaaaaaa"... kapiga XXX za nguvu uumeni almuradi jamaa auguze kidonda kwa siku kadhaa!
 
Imagine aisee!

na kweli bana, huyo 'mamsapu viwembe' anaweza kumvizia jamaa kauchapa usingizi mara ..."chwaaaaa, ...chwaaaaaaaa"... kapiga XXX za nguvu uumeni almuradi jamaa auguze kidonda kwa siku kadhaa!

...............AKITHUBUTU KWANGU,she will go home tomorrow morning!no eksichuuz
 
Mimi Nadhani Huyu Jamaa akae kitako na mamsap asuluhishe haya mambo. Ilipofikia iko siku ataikata nanihii na hiyo kiwembe. Kama akishindwa kupata suluhu basi atafute councellers wa kumsaidia. Ampe mkewe nafasi ya kwenda kwenye Kitchen Party kuna mafundisho mazuri kwa huyo mama. Pia anaweze kuhudhuria semina za ndoa pamoja na mkewe.
 
I think pamoja na kuwa watu wana kaimani kuwa wivu kwa mwanamke suna, but wengine (kama huyo) wanapitiliza, kiasi cha kuanya tudhanie kuwa wana'pretend'. You travel on an official trip, then kila saa simu. Hadi inakuchelewesha kumaliza hizo duties. Matokeo yake unachelewa kurudi, to her disadvantage. Ladies you need to learn.
 
duh hii kali nilikuwa sijaicheki! mmmm jamani hata ufanyeje mwanamume wa kucheat bado atatafuta njia ya kusucceed! mmmm karaha kweli!
 
Hii kali...hata akitoboa trousers, if he wants to cheat he will cheat. Wivu mwingine haufai. He needs to talk some sense into her otherwise hiyo relationship itakuwa ngumu.
 
inatisha......hizi mbinu sijui ni karne gani hapa kwetu sidhani kama itasaidia.....
 
habari ndio hiyo......
Hii kali...hata akitoboa trousers, if he wants to cheat he will cheat. Wivu mwingine haufai. He needs to talk some sense into her otherwise hiyo relationship itakuwa ngumu.
 
wivu na uvivu vinashabihiana ? Nauliza


Not really!....for resitance
Jealousy......Wnating an object for one self which belongs to ohters....Avoid jealousy and envy....try to feel joyful for others happynessy...create much good karma...if the mind is jealous youw ill feek very uncomfortable toward others...like your carying a heavy loads iny our mind.....

Laziness.....Being attached to temporary pleasure...Not wanting to do virtue or only little oppisite to deligence...This consists of hangind out all day doing nothing or gossiping with friends about other people...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom