Mkuu ckuwahi kupokea matunzo afu mie nlikuwa naogopa kumuomba hela nilikuwa nahisi ataniona mm napenda hela, basi buana hela cpewi matunzo cpati lakini akibanwa tu cmu hii hapa eti njoo nimekumic kweli,,, pumbavu kweliiii nikamkimbia zangu
nilkuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja, yule kaka jamani alikuwa napenda kufanya mapenzi khaaaaaa, yani atakupigia cmu anapojickia kufanya tu, lakini hawezi kukupigia cmu eti akujulie hali thubutuuuu nlikua nkiona cm yake tu jua unaitiwa mjegeje khaaaaaaa nikasema cfanyi upumbavu huu hakuna cku...
Ndio nlikuwa namuelewa kabisa sema hakuwahi kunitamkia lolote zaidi ya ushikaji tu tulikuwa nao.... Mpka cku tunda lilipoliwa ndio kila mtu akaanza kusema ya moyoni
😆😆😆 nianze kwa kucheka kwanza maana huu uzi umenifurahisha nimesoma comment weee mpka basi..... Nafikiri mm ndio nikiliwa cjui kimasihara cjui kiutani cjui niitaje kisa KARATA tu,, kuna kijana mmoja tulikuwa tumepanga nyumba moja bac tulikuwa washikaji tu story za hapa na pale yani fulesh tu...
😆😆😆😆😆😆😆 Basi na sisi mtuweke kwenye hayo makundi ili tuzipate hizo connection, kama mm hiyo Habari ndio nimeickia jana ckuwa najua chochote kile 😆😆😆😆😆😆
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.