Ndoto yangu nikuajiliwa serikalini ngazi ya afya lakini nipo chuo cha private

Peter Majaliwa

Senior Member
Jun 16, 2017
161
30
Nipo chuoni mwaka wa kwanza nilikosa chuo cha serikali lakini saiv Niko chuo cha private nasomea utabibu nategemea kuajiriwa serikali nisadieni kulingana na uzoefu wenu
Natanguliza shukrani
 
Usitake kushuka kwenye Gari kabla mwendo haujapungua, taja kituo unachotaka kushuka subiri gari lisimame lipa nauli afu shuka, hii namaanisha,,, soma kwanza, napa ufaulu mzuri then usubiri nini kifuatacho sawa.......
 
Nipo chuoni mwaka wa kwanza nilikosa chuo cha serikali lakini saiv Niko chuo cha private nasomea utabibu nategemea kuajiriwa serikali nisadieni kulingana na uzoefu wenu
Natanguliza shukrani
Soma vizuri.. kimsingi zinapotoka ajira za Serikali hazichagui as far as umekidhi sifa zinazohitajika.
 
Aiseee, omba Mungu usimkute huyu msukuma mwenye roho ya chuma, hajatoa ajira toka 2015
 
Back
Top Bottom