Recent content by Shof

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Women: Your vajay jay doesn’t have to smell like roses

    Du haya bwana
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asilimia 99 ya wanawake wanajiuza...!

    Sidhani kama takwimu hizo ni sahihi kwenye asilimia99 kuna mama zetu kuna dada zetu kuna mashangazi na kadhalika kwahiyo wote wanajiuza.
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kuna madhara gani kuishi mbali na mume?

    Changamoto ni sehemu ya maisha jali sana ndoa yako usije dhani kwamba unatatua tatizo kwa kukimbia kumbe unaongeza matatizo mengine mapya
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kuna madhara gani kuishi mbali na mume?

    Changamoto ni sehemu ya maisha na dawa ya tatizo sio kukimbia tatizo bali kutatua tatizo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Jino moja mswaki wa nini?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hodiii wana jamii forum...

    Mlango hufungwa wakati ukiwa wazi.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Swaga za Polisi akitongoza...!!

    Haaaa haaaa hhaaa!!!! Huyo afande ni noouma.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Habarini wakuu?

    Nashukuru sana mkuu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hi!

    Karibu tena.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wanawake ni zaidi ya....

    Yote ni mipango ya Mungu..Wazazi wanaobagua watoto wanamatatizo binafsi.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to all my member twins

    Happy birthday mkuu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tabia Gani Uliyokuwa Nayo Utotoni Mpaka Leo Ukubwani Bado Unayo???

    Mimi nilikuwa napenda sana kulala
  13. S

    JamiiForums Tanzania maskini charminglady! achana na mateso hayo,njoo kwangu

    Usimrubuni mwenzio acha atulie kwa mme wake.
  14. S

    JamiiForums Tanzania JamiiForums game of the year

    Mshindi ni mimi leo
  15. S

    JamiiForums Tanzania Habarini wakuu?

    Wakuu nimejiunga na magreat thinkers naomba mnipokee na mnipe ushirikiano. Nawasilisha.
Back
Top Bottom