maskini charminglady! achana na mateso hayo,njoo kwangu

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Ninaumia sana kipenzi changu kwa mateso unayopata huko kwa C6
Mary-Msuhu-in-the-kitchen-Masoko-Village.jpg
3096891620_de316e5d71_z.jpg
emu check C6 anavyochakalika. Njoo kwa wns upate raha
 
Last edited by a moderator:
Amempenda kwa shida hizo na raha..
Acha kumrubuni kwa mali zako.
 
Kapenda jamani, bora tu utafute mwingine maana mwenzako kaoza kwa @C6
 
Back
Top Bottom