kuna madhara gani kuishi mbali na mume?

Kaunga, ilikuwa hivi. alitumiwa message na mdada kuwa "mimi nimetembea na mumeo na nimemwambukiza HIV hivyo mjiandae kutumia ARV. issue nyingine aliipata live akiwa saloon. wadada wa saloon walikuwa wakimuongelea mumewe na ilionesha kuna mdada mmojawapo alikuwa anatoka na mumewe. yan sio habari za kuambiwa. kuhusu kuhama ni ngumu make ni miaka miwili tu tangu mumewe ahamishwe toka Arusha kwenda Moshi. si rahisi kurudi tena Arusha bila sababu za msingi.

Kwanini asikae chini na mumewe amueleze maswala yote hayo na waende kupima; l am sure watafikia muafaka mzuri kuliko kuamua peke yake.
 
Changamoto ni sehemu ya maisha na dawa ya tatizo sio kukimbia tatizo bali kutatua tatizo.
 
Kwanini asikae chini na mumewe amueleze maswala yote hayo na waende kupima; l am sure watafikia muafaka mzuri kuliko kuamua peke yake.

off course hiyo issue ya HIV ilakuwa mwanzoni mwa mwaka na waliisolve. issue kubwa ni kufatiliwa fatiliwa. any way nitajaribu kuongea naye kwa kirefu ili niweze kujua kama kuna la ziada zaidi ya hayo! asante kwa ushauri wako Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Changamoto ni sehemu ya maisha jali sana ndoa yako usije dhani kwamba unatatua tatizo kwa kukimbia kumbe unaongeza matatizo mengine mapya
 
Changamoto ni sehemu ya maisha jali sana ndoa yako usije dhani kwamba unatatua tatizo kwa kukimbia kumbe unaongeza matatizo mengine mapya

asante kwa ushauri Shof!
 
Last edited by a moderator:
Hao wanataka awapishe.

Kuna wasichana wakiolewa tu wanapata sms za hajabu...kumbe kuna watu walikuwa wameshapiga mahesabu ya kuolewa wao. Sasa kama uchanganyi na zako ndio hayo.

Kha. Uhame mji kisa maneno ya watu? Kweli tuna uwezo tofauti wa kupambanua mambo.

sio rahisi kuhama pamoja kwani mumewe kahamishia Moshi kama miaka miwili iliyopita akitokea Arusha. may be avumilie tu. . .
 
Mimi ningejibu hiyo SMS hivi

"Asante kwa taharifa; lakini hizo kwangu siyo news mbona natumia ARV huu mwaka wa tatu"

Ila baada ya hapo lazima mimi na hubby tukapime.

Huyo changudoa alitakiwa ampe dry kwa kuwa hiyo message kuna chance kubwa ni ya uongo huyo mtumaji anataka kuwasha moto kwenye nyumba za watu.

Yani kuna watu wako busy kuvunja ndoa za watu. Washindwe na walegee.

Kaunga, ilikuwa hivi. alitumiwa message na mdada kuwa "mimi nimetembea na mumeo na nimemwambukiza HIV hivyo mjiandae kutumia ARV. issue nyingine aliipata live akiwa saloon. wadada wa saloon walikuwa wakimuongelea mumewe na ilionesha kuna mdada mmojawapo alikuwa anatoka na mumewe. yan sio habari za kuambiwa. kuhusu kuhama ni ngumu make ni miaka miwili tu tangu mumewe ahamishwe toka Arusha kwenda Moshi. si rahisi kurudi tena Arusha bila sababu za msingi.
 
Mimi ningejibu hiyo SMS hivi

"Asante kwa taharifa; lakini hizo kwangu siyo news mbona natumia ARV huu mwaka wa tatu"

Ila baada ya hapo lazima mimi na hubby tukapime.

Huyo changudoa alitakiwa ampe dry kwa kuwa hiyo message kuna chance kubwa ni ya uongo huyo mtumaji anataka kuwasha moto kwenye nyumba za watu.

Yani kuna watu wako busy kuvunja ndoa za watu. Washindwe na walegee.

umemaliza nyumba kubwa, sina cha kuongeza, mke utakimbiaje nyumba yako kwa maneno?
 
Last edited by a moderator:
nyumba kubwa inahitaji ujasiri sana kuface situation kama hiyo, yan siku ambayo Joy alitumiwa hiyo sms alitaka kufa, make pressure ilimpanda na alikuwa mjamzito. thanks God shemeji ake Joy alikuwepo home ndo akamfariji. kama hujawahi kusikia issue kama hii unaweza kuchanganyikiwa eti!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kama ni mjamzito ina maana anajua health status yake. Ni kweli najua inachanganya...ila mimi kwanza lazima nimchanganye mtuma message kwanza no matter ntakuwa nimechanganyikiwa kiasi gani.

nyumba kubwa inahitaji ujasiri sana kuface situation kama hiyo, yan siku ambayo Joy alitumiwa hiyo sms alitaka kufa, make pressure ilimpanda na alikuwa mjamzito. thanks God shemeji ake Joy alikuwepo home ndo akamfariji. kama hujawahi kusikia issue kama hii unaweza kuchanganyikiwa eti!!!!!
 
hakuta tatizo lolote, kwani we unaonaje ?
hali zenu wanammu,
joy na mumewe wamefunga ndoa mwaka jana,baada ya mwaka wakabahatika kupata mtoto. Sasa joy kanambia ana mpango wa kuhamia arusha (kwani wanaishi moshi) na kumuacha muwewe kisa moshi watu wanamfatilia sana maisha yake na mumewe asionekane na mumewe akifurahia ndoa,washasema maneno kwamba anajisikia, wadada wa mjini walishamtisha kuwa wanatoka na mumewe,mara mumewe ni mwathirika,in short hana raha kuishi hapo anapofanyia kazi mumewe. Kaamua kuhama ili kuepuka hizo karaha.je ni sahihi?
 
Inawezekana ila ni kujipanga tu vizuri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nimekubaliana na wewe ktk kipengele cha kuvumilia ila issue ya kuondoka wote cdhani kwan m2 unapaswa kukabiliana na matatizo upambane ili kuyamaliza na co kukimbia
utakimbia matatizo mpaka lini?

njia bora ya kutatua matatizo sio kuyakimbia, ajiulze hili akienda arusha atakuwa amewakepa je, yeye na mmewe hatakabiliana vip na vishawish? Na Arusha yakianza maneno atahamia wap tena? Na atahama mbaka lin? Nan anampa hizo habar anazitafuta ili iweje na huyo anayemletea anapata faida gan?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom