Recent content by ShL

  1. ShL

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Degree ya sheria

    Sina muhuri
  2. ShL

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Degree ya sheria

    Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria, Naamini hapa Jamii forums Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either inayofanana na Sheria au tofauti basi anisaidie Nipo Dar es salaam Simu: 0779724159
  3. ShL

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane

    Mkuu Samahani nimechelewa kuona hili Tangazo lako, Naomba Kama bado anahitajika basi Mimi nipo tayali Naishi Dar es salaam
  4. ShL

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kutambua video zilizotengenezwa kwa AI? Shiriki kuthibitisha video hii

    Video imetengenezwa na AI Kwanza mwanzo video inaonyesha Kuna wanyama wawili Duma na katoto baada ya huyo Eagle 🦅 kushindwa kumbeba mtoto ghafra anaongezeka #Eagle mwingine na kufanya wafike wanyama watatu Pili huyo mtoto anaye nyanyuliwa ni mtoto wa Simba sio mtoto wa Eagle Tatu Ukubwa wa...
  5. ShL

    JamiiForums Tanzania Ukishaona nchi wanatoboa Wanasiasa na machawa ila wenye Elimu Wako hoi jitafakari sana

    Hivi inawezekana vipi wasomi wanageuka kuwa MACHAWA? Au tuseme Hawajui value ya Elimu walivyo nayo ama now days mfumo wa elimu unawaandaa kuwa MACHAWA
  6. ShL

    JamiiForums Tanzania Let them go

    “People in your life are like passengers on a train who come and go at different stations. Some are strangers, others acquaintances, and others, relatives, friends or lovers who you may wish to remain with you always on your journey. And when they have reached their stop and it comes time for...
  7. ShL

    JamiiForums Tanzania Israel VS Palestine

    Niwazi kwamba Israel haina uwezo wakupambana na Palestine kutokana na kuishiwa mbinu za kivita, Israel imekuwa ikitegemea msaada Kutoka Mataifa Kama USA na UK, hivyo baada ya USA kuyumba kiuchumi imepelekea ata Israel kukosa nguvu za kuikabili Palestine
  8. ShL

    JamiiForums Tanzania Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

    MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA. Imeandikwa na Shusa Luck Shusa luck Naomba uni follow Kisha tuendelee NINI CHANZO CHAKE, NINI KINAENDELEA NA NI IPI SULUHU YA KUDUMU? #UZI [emoji3468] Uzi huu utaangazia uhalisia wa mgogoro kwa uwazi bila upendeleo. Hivyo kama una mihemko ya itikadi za kidini...
  9. ShL

    JamiiForums Tanzania Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

    Kwakuzingatia Historia kati ya Israel na Palestine Yupi mwenye haki ya aridhi wanayo pigania?
  10. ShL

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Yupi ni mcokozi kati ya Israel na Palestine juu ya kile kinacho endelea pale middle east?
  11. ShL

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Acha uongo mzee, mpaka sasa Russia imetekeleza mauaji ya askari zaidi ya 52 wa Ukraine, wewe hizi Taharifa za Russia kupigwa umezitoa wapi? Isipokuwa siku ya Jana (ijumamosi) Ndege ya kivita ya Russia ilidondosha bomu kwa bahati mbaya inchini Russia na kusababisha kuanguka kwa majengo
  12. ShL

    JamiiForums Tanzania Sayansi ya nyota

    Naombeni tujadili kidogo kuhusu hili Jambo. Je nikweli kwamba ukiwa kwenye mwezi, nyota hauzioni? Kama nikweli, nikwanini?
  13. ShL

    JamiiForums Tanzania Ijue Mwanza jiji

  14. ShL

    JamiiForums Tanzania Timu ipi ina Jersey nzuri msimu huu 2022/2023?

    Kati ya Simba, Yanga na Azam
Back
Top Bottom