Recent content by shiwai salum

  1. S

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mtoto wa kwanza wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

    Jaman Kuna ukweli wowte juu ya hiyo Mada..
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimepata marafiki, asante JamiiForums

    Mashart uliweka mengi mno mpaka nikaogopa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nywele bandia: Je ni mvuto, au kudharau uafrika?

    Wangejua mm ninavyo zichukia,,,,, kwanza 'n feki na 'n bandia,, nazo zifungiwe tuuu maana Zina ficha vichwa vya watu mpaka tuna shindwa kuchagua wake wa kuoa,,, aaaah.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Arts with Education vs Bachelor of Education

    Demba ww,,, hata maelezo yako yana ukakasi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Basi la Tahmeed lililokuwa likitokea Tanga likielekea Dar es Salaam, lateketea kwa Moto

    Duuuuuh jaman pole Yao,, vipi abiria......???
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ukisoma HGE ni lazma ufanye Hisabati

    Huyo 'n kilaza wa nguvu kabisa,, hge lazima usome Bam...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Rais Magufuli kuchaguliwa na masikini

    In fact kauli hii sio nzur kwa taifa letu.... 'n ya kibaguz. Kuwa Tajiri sio kuwa adui wa serikali cha msng hapo matajir walipe kodi na kumaintain huo utajir wao uwe halali sio haramu.. Kauli hii itatupeleka kusiko julikana.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wanaomsifia rais Magufuli wasijisahau

    Nime penda threat hii,, mpo wapi jaman mwendelee??
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amelipua nyumba kuua panya aliyemo ndani!

    Suala sio kuficha sukar,, tujiulize swali kwamba,, Kwann wafiche sukar??? Mara ngapi wame fanya ivo???? Malengo Yao 'n nn??? Hapo ndipo penye majibu sahihi huenda wako right au wrong.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Jini?

    Hakika ume kutana na jini tena mahaba,,, nenda ukaombe litakutokea frequently.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Magufuli mfutie kesi kijana huyu

    Inaonekana 'n mdogo wako huyo sooo una mtetea,, pole.
Back
Top Bottom