Nimepata marafiki, asante JamiiForums

Rafiki Ni Jambo Moja Mchumba Ni Extra Lingine Mchumba Mitandaoni Sina Hakika Sana Lakn Marafk Wapo Wengi Sana Na Kuwapata Unaowatafta Gve It A Whle Uwafahamu Vzur Then Utawapata Bila Iyana.
 
Kweli dada yangu.
Humu kumpata ni ngumu lbd itokee tu km zali la mentali.
Ila dada yangu ulijichanganya na title yako. Usingepaswa kuandika title km hiyo. Hapo ndio ulikosea.
Kiukweli mapenz ya dhat huhitaji maandaliz lzm ujipende ww mwenyew zile tabia mbaya mbaya unaziacha mfano kutoa lugha za matusi, kutembea na mwanaume wa mtu n.k
kumbuka hapa unatafuta mume na si mchumba
Jipende ww mwenyew jiweke ktk mazingira ya umama. Nenda ibadan, usipende kuongea na watu weny tabia mbaya, vaa kiheshima sio surual zilizobana mpaka papuch unaiona, tumia kaul nzuri hata km mtu kakuudhi mjibu kwa hekima, usipende kuzurura ovyo, usiende club, na usipende kuwa karib na wanaume km vile kupiga story kwa muda mrefu ni salam tu bac, km upo off jaribu kufanya kishughul hapo nyumban mfano kufagia kiwanja, kupalilia majan, halaf pia uwe msafi na usimkubali kirahic mwanaume yyte sio leo kakutongoza kesho unampa papuch utaachwa na pia usijioneshe unamtegemea sana mwanaume baada ya kukutongoza unaanza hela ya vocha, sijui babe kuna simu nimeipenda n.k hutaachwa tu muoneshe nawe unamjali hata siku akisema leo ninaumwa hebu mnunulie hata panadol mpekelee.
Wanawake weng hufikiri ss wanaume huwa tunashida na papuch tu. Kiukweli huwa hatufikirii kbsa papuch, ndoa ni zaid ya ngono huwa tunawaza siku nikiwa sina hela au nikifukuzwa kaz mwanamke anaweza kunisaidia japo nauli, nikiumwa atanihudumia, pia ni mwaminifu? Hana maneno meng na kisiran, sio akikuuuz kidogo unaanza kumtukana.
Yote 9, 10 mwanaume anatakiwa haeshimiwe, umsikilize na usimbanie papuchi. Mshauri, msaidie akiwa na shida usisubir mpaka akuambie. Mfano anaumwa, nenda kamsalimie huku umebeba hata panadol sio umeenda mikono mitupu ukifika unataka kumpiga mzinga hapo utakuwa umejipalia.haya ni machache tu, wengine wataongezea
 
Urafiki wa nini ?

Mnachati tuu, sms ya tatu ashakwambia anadaiwa kodi, mara kaona kitu kizuri mlimani city...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom