Ukisoma HGE ni lazma ufanye Hisabati

Ukisoma HGE ni lazma ufanye Hisabati

Guys majbu nimeyapata nashukuru sana ila u much know mwingi sana humu haya maisha tuuu itabdi ss nisome HGL cz Geog inaipenda sana
 
Hahahahaha! Kweli wewe ni popoma unayedandia mambo ambayo huyajui! Unajifanyaga Sana umesoma Leo kitu kidogo kimekuumbua! Nadiriki kusema hujawahi kufika form six unaisikiaga tu kwenye redio.

Mtu anayesoma HGE lazima asome BAM yaani Basic Applied Mathematics kama supportive subject. Yaani ni somo kama General Studies. Japo GS wanasoma wanafunzi wote na combination zote

Wewe n POPOMA. Yaani we ni kilaza wa level ya PhD.

Teh,teh,teh,muda mwingine kukurupuka kubaya sana.
Ni sawa na yule aliyesema supplimentary ni somo kama masomo mengine tu.
 
PCB, CBG,ECA ,HGE hawa wote wanakutana ktk lecture hall moja ya basic apply maths (bam) tumeelewana hapoo?
 
Ndio ni lazima ufanye hisabati ambayo ni basic applied mathematics
 
Usiogope mdogo angu, hakuna kitu rahisi kama maths hasa iyo BAM utakayosoma, ni bidii yko tu.
 
Back
Top Bottom