My dear polee na wala usiwe na hofu siwezi kukudhuru, nilitaka kukupa sapraiz tu kuwa nipo na
nakuona kila
utakapokwenda[/
QUOTE]
hahaha sasa utamuua mazima
Haya mjuaji, ni hivi alipotokea paka nilipunguza mwendo wakati namkwepa. Halafu huyo mwanamke nilimuona mita kumi mbele au ndio mbele ya safari hio?Wewe ni muumini mzuri tu wa mambo hayo ila wewe mwenyewe ndiyo hujijui, asiamini hawezi linganisha tukio la paka na kuwa binadamu uliemuona mbele ya safari. Kumbuka umeeleza ulikua kasi kwenye gari, iweje uweze kumsoma mtu usoni mpaka macho yagongane, wakati ulikuwa unaendesha kasi.
Wewe ni muumini mzuri tu wa mambo hayo ila wewe mwenyewe ndiyo hujijui, asiamini hawezi linganisha tukio la paka na kuwa binadamu uliemuona mbele ya safari. Kumbuka umeeleza ulikua kasi kwenye gari, iweje uweze kumsoma mtu usoni mpaka macho yagongane, wakati ulikuwa unaendesha kasi.
Wewe umekereka maelezo yangu tu.Haya mjuaji, ni hivi alipotokea paka nilipunguza mwendo wakati namkwepa. Halafu huyo mwanamke nilimuona mita kumi mbele au ndio mbele ya safari hio?
Tuachane na huyo bwana ana stress za maisha tuu..... ila wajua Katavi mie nakuzimikia ile mbayaa hasa hayo masikio yako yananikonga moyo sijuwi nifanyaje
Teh teh..Uoga wako tu mkuu..Huyo mi ningempa lift halafu tungemalizana juu kwa juu
Teh teh.. Huyo mzungu mkuuha ha..Chief ungempa nani lifti? paka au mzungu? naona maruweruwe
roger that mkuu. huhhhhhhTeh teh.. Huyo mzungu mkuu
ilikuwa maeneo gani mkuu?Ndugu zangu mimi sio muumini wa haya mambo, sijui majini wanga siamini kama yapo. Ila leo kuna kitu kimenitokea kinaweza kubadili maoni yangu juu ya hivi viumbe.
Kama mjuavyo mwisho wa wiki huu unapilika nyingi za usiku na mimi leo nilikuwa kwenye misele ya usiku. Sasa wakati narudi mida ya saa kumi na robo hivi alfajiri hii nimeona vitu naona si vya kawaida.
Wakati narudi nyumbani niko peke yangu kwenye gari na barabarani ghafla akatokea paka mweupe anakatiza barabara . Kwa kawaida usiku huwa nakimbiza gari kidogo na ninaendesha katikati ya barabara, basi yule paka katokea upande wa kushoto anakatiza kueleke kulia.
Kwa instict za udereva nikanyunyiza breki kidooogo, nikahamia kushoto alipotoka nikamkwepa bila kashkashi. Kuangalia nyuma kwa kutumia vioo sikumuona yule paka! Kwenda mbele kama mita kumi nikamuona mwanamke wa kizungu 'blonde' kavaa gauni jeusi refu limefunika hadi viatu kasimama upande wa kulia wa barabara!
Nikamwangalia na yeye akaniangalia wakati napta macho yalipogongana mwili wote ukanisisimka! Kwa mazingira yale niliomkuta na muda huu si kawaida kukuta mwanamke kasimama peke yake awe wa kizungu au mswahili, ndugu zanguni huyu ni jini? Nimeandika hii habari kabla sijalala mkiona nipo kimya sana mjue ni athari za huyo 'jini'.
cc: mshana jr
Hahahaah details zinakuja.!Kwelii eeeh.... nipe details basi nitampata wapi afanane nawewe hivyohivyo!