Recent content by shirima Mathias

  1. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya ubaharia wa Lemutuz_Superbrand

    Eti Le mobimba Nye Nye nyee ni nani.
  2. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Macbook Pro touchbar inch 13

    Ukishauza wewe utatumia nini?
  3. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania Mzee Bakhresa naye amekubali kuchezesha kamari?

    Haier Tanzania ni mali ya Azam?
  4. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania Singeli ni muziki wa Uchafuzi usio na tija katika jamii, sumu ya watoto wetu Uswahilini!

    Na mchiriku au mnanda nao unausemeaje
  5. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Jinsi yakupambana na kero za kelele za makanisa ya kilokole mitaani kwetu

    Kuna kikanisa kimoja UCHWARA jirani yangu kilitaka kutuchezea hivyo hivyo. Nikawafuata na kuwaambia kama mna vimaombi vyenu UCHWARA anzeni asubuhi hadi saa tano USIKU iwe mwisho. Matokeo yake wakawa wanaanza saa TANO usiku hadi saa tisa au kumi alfajiri Nilichofanya ni kwenda Karia koo na...
  6. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano ya ACT Wazalendo kuelekea Ikulu kushinikiza waliotajwa wizi kwenye ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua

    ACT wanatania, hawana hata mpango wa kuandamana. Eti uandamane hadi ikulu, ACT wafunge barabara Huu ni utani
  7. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania Sikuhi kuwaza kubwa Elick Kabendela ni mjinga kiasi hiki

    Huyo ngusa samike picha yake iko wapi
  8. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania Vyakula 10 vinavyofaa kwa wanaume

    Kama 1 Alkasusu 2 konyagi 3 Bangi havipo uzi wako hautoekeweka na siukubali
  9. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania Serikali yawalipia viingilio Maafisa Habari wa Serikali kushuhudia mechi ya Tanzania Vs Uganda

    NI UJINGA. Afisa habari wa wizara ni wakukosa kiingio cha elfu tano kuingia mwenyewe uwanjani?. Au ni LAZIMA? Vipi kwa atakaekataa kwenda pamoja na kulipiwa?. Ataadhibiwa?
  10. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania Simba kuchezeshwa saa nane za usiku na mwarabu

    Simba na raja wanacheza mchezo wa mwisho lini?. Eti week end huu Kiazi wewe
  11. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka ataka wanafunzi wanaofanya makosa wafukuzwe shule

    Mayalla maana yake ni njaa. Sasa nini cha ajabu alichokiongea mtaka hapo
  12. shirima Mathias

    JamiiForums Tanzania Azam FC msipotufunga Simba SC Keshokutwa ( Jumanne ) nitawalaumu na nitawadharau sana

    Kwa hiyo wakiitwa walioanzisha uzi JF na wewe utatoka?. Kiazi weye
  13. shirima Mathias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempenda sister wa kanisa

    Huu nao tayari ni uzi eti
  14. shirima Mathias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempenda sister wa kanisa

    Kama uko DSM Nenda msimbazi centre kuna Bar kibao na wahudumu ni hao masist.. Eti alivyokuwa anatizama sehemu ya kukaa na kulivuta gauni lake ukaona nusu ya kasura kake,,,,
Back
Top Bottom