Mzee Bakhresa naye amekubali kuchezesha kamari?

Mzee Bakhresa naye amekubali kuchezesha kamari?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,058
Reaction score
28,509
Niliambiwa huyu Mzee na mambo ya dhambi ni mbingu na ardhi,pia niliambiwa hata gari lake lolote lilibainika kubeba pombe tu anarihesabu sio lake.

Leo imekuwaje tena kuwanza mambo ya media za uswahilini na buku buku za kushindanisha ,yule mzee na swala tano zote anachezesha kamali.

USSR

Screenshot_20230502-111811.jpg
 
Wabongo akili zimeishia kwenye kamali acha nae akawaibie hela.
Hizi ni story za mtaani, Bakhressa akigundua gari yake imebeba pombe anaizila. Hahaha!
 
My rafiki kitu kinachoitwa bina+damu sio cha kukiamini kabisaaa na misimamo yake.
Hiki kitu kinatabia ya kubadilika tabia kila baada ya five-second.
Hivyo ikiwezekana hata wewe mwenyewe usijiamini kabisa.[emoji23]

Hii kauli ilinenwa na Nabii Jasasu Geza kwenye mkasa wake wa geza anasakwa auawe[emoji57][emoji125][emoji125]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom