Singeli ni muziki wa Uchafuzi usio na tija katika jamii, sumu ya watoto wetu Uswahilini!

Weakman

JF-Expert Member
Jul 23, 2021
861
1,384
Nawasalimu nyote!

Nianze moja kwa moja kutaja mambo ambayo muziki umechochea katika Jamii, upande Hasi na upande chanya

1. Reggae
Imechochea Imani ya Upendo na Amani miongoni mwa vijana
Imeplay role kubwa ktk mapambano dhidi ya unyanyasi wa mzungu kwa mwafrika!
Imemsaidia kijana mwafrika kujenga ujasiri wa kutukuza uafrika wake(CHANYA)

Ilichochea uvutaji bangi na kutojithamini ktk usafi (HASI)

2. Dance
Ilichochea maadili ya kijamii, yaani kazi, heshima, malezi ya watoto, mapenzi Bora ktk ndoa n.k
Pia kuhamasisha siasa na ujenzi wa Nchi (CHANYA)

3. Hip hop
Imechochea uanaharakati kupambana na maovu kwenye Jamii (CHANYA)

Hip-hop imeongeza uhuni kwa vijana
Uvutaji bangi na matumizi ya madawa ya kulevya (HASI)

4. Bongo Flavor
Imeleta romantic love kwa vijana! Kabla yake mapenzi hayakuwa romantic
Maneno, I love you, I miss you, yameongezeka miongoni mwa vijana,
Vijana Sasa wanajua kupiga kiss n.k (CHANYA)

Imeongeza zinaa,
Imesababisha zinaa kuonekana Jambo la kawaida kwenye Jamii (HASI)

5. Taarabu
Inachochea heshima ya ndoa, hasa heshima ya mwanamke kwa mumewe
Taarabu inachochea usafi na mwonekano wa heshima kwa mwanamke
Ni darasa la kuonyana baina ya wanawake
(CHANYA)

Inachochea migogoro, fitina, usengenyi baina ya wanawake (HASI)

6.Kwaya za dini
Zinaongeza Imani ya dini kwa wahusika (CHANYA)

Nyimbo hizi zimechangia wanadini kutapeliwa na kutiwa umaskini na Manabii, mitume na wachungaji! ( HASI)

7. Singeli
Muziki wa hovyo kabisa
Sijaona uchanya wake
Muziki huu unaeneza uzinifu kwa Hali ya juu
Unaeneza Ushoga,
utakuta waume wanacheza singeli wamebinua matako!
Unaeneza ulaji wa tigo kwa vijana!
Ishu za kulana tigo zilikuwa Siri ya chumbani lakini Sasa Singeli imekuwa ajenti

Muziki huu usio na tija Ni wanini kwenye Jamii yetu!?
Huu ulitakiwa upigwe ban!!
 
Cha ajabu huu muziki unapewa promo mpaka kwenye dhifa za kitaifa. Mbaya zaidi anayepandishwa jukwaani kuimba ni muhuni tu asiyejua aimbe nini kutokana na tukio husika, utasikia anaanza kusifia mambo ambayo ki mukhtadha si mahali pake. Hawa wasanii wanaopata nafasi za kupanda majukwaani kuimba wawe na akili za ziada kuimba yanayohusu tukio maalumu, sio kusifia chama kile au jambo lile wakati watu wako kwenye jambo lile, hiyo ni bangi kichwani kuimbaimba vitu ambavyo si muafaka kwenye tukio mahsusi
 
Nilishangaaa siku moja Raisi anacheza singeli huku msanii yule wa singeli anaimba nanukuuu "maselaaaa twende kwa mpalangeeeee peku peku usiogope topeeeee aya maselaaaa nataka nile mbele nile mbeleeee pekupekuuu mpiraaaa unakata stimuuuu stimuuu" kiufupi wasaniii wengi wa Singeli ni wahuni,vibaka na machokoraaa hawafai kwenye jamiii kama ilivyo kwa Makamba,Nape na Mwingulu.
 
Mziki wa uswahili unaotafuna mabinti na vijana wa dogo kwa kasi sana. Mwanamziki akisema ana kipaji cha singeli huwa nacheka sana.
 
Singeli ilikuwq Zamani, sahivi ni kelele tu.

Binafsi sisikilizi nyimbo za kipumbavu tunakoelekea hata Amapiano nazipiga chini.
 
Nilishangaaa siku moja Raisi anacheza singeli huku msanii yule wa singeli anaimba nanukuuu "maselaaaa twende kwa mpalangeeeee peku peku usiogope topeeeee aya maselaaaa nataka nile mbele nile mbeleeee pekupekuuu mpiraaaa unakata stimuuuu stimuuu" kiufupi wasaniii wengi wa Singeli ni wahuni,vibaka na machokoraaa hawafai kwenye jamiii kama ilivyo kwa Makamba,Nape na Mwingulu.
Woyoooooooo
"Nakupenda weweeee na huyooo bwana akooo""
 
Back
Top Bottom