Recent content by SHIP

  1. S

    JamiiForums Tanzania Majimbo haya nayo yagawanywe

    Mh.mwigulu,mawazo yako/yenu yako sahihi sana nadhani chaguzi ndogo zitakuwa zimepata ufumbuzi muafaka,pia ongera sana maana wewe mmoja unatetemesha chadema na viongozi wao wote,big up bro.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mkakati huu wa serikali ya CCM ni hatari kwa CHADEMA

    Sixgates,umesema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza,unaiweka fungu gani chadema na m4c?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu: Kuuza miili UDOM ni matokeo...

    Tuache kutetea ujinga jamani,si kweli kuwa kuchelewa kwa mikopo ndio sababu,mi nipo mtwara kwa miaka mingi,nimepata ufahamu wa tatizo hili kupitia wanachuo wa saut,hanasa ndio sababu kubwa ya tatizo hili,huku wanajiuza tena kwa kukulazimisha kabisa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania CNN: Dr. Slaa awa gumzo na hatari serikalini Tanzania

    Ukiwafuatilia kwa makini maoni ya wana chadema utajua tu kuwa wengi ni bendera na wajinga wao wengi wamo humu jf
  5. S

    JamiiForums Tanzania Huyu nae ana sifa za kuwa rais wa mwaka 2015. Ajadiliwe.

    Kuwa na rais kama mengi ni bora hata tusiwe na kiongozi yeyote nchini.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Disemba 15, 2012 kipimo cha ujinga kwa magazeti ya HabariLeo, Uhuru na JamboLeo

    Chaga development manifesto bora isife iendelee tu kuchechemea au?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

    Sikonge,umenifurahisha sana uliposema nape mzinzi,hebu walingenishe kwanza na mzinzi mwenzie padri slaa alafu nipe jibu nani zaidi.
  8. S

    JamiiForums Tanzania CCM chovu: Kwanini wasitumie nguvu zilizobaki kujiimarisha zaidi ya kuzichezea kubomoa CHADEMA

    Ccm haiwezi tumia muda wake kuibomoa chadema kwakuwa chadema tayari kimeshajifia,"mtu haui maiti"
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya ulinzi na usalama Mwanza yaamuru wabunge wa CHADEMA wakamatwe

    Sasa baba v,matusi hapo ni yapi?hivi mtu anakurupuka na kushawishi watu kufanya fujo wewe na uelewa wako unaona wapo sawa?wangesema haya waislam tungeanza kusema wahajasoma,wamesema chadema wako sawa siyo?watu wanadai kulia na kucheka zote kelele.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kadi ya CCM yamponza Slaa... Sasa ashinikizwa kujiuzulu nafasi yake!

    Chadema bhana!unajua munatakiwa kujiuliza swali hili,wewe umeoa na mkeo ana picha nyingi za mwanaume,ukimuuliza ile picha ya nani anasema ya boyfriend wake wazamani ukimuuliza ni zanini kwa sasa anajibu kaweka tu kama kumbukumbu,wewe utaelewaje?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya ulinzi na usalama Mwanza yaamuru wabunge wa CHADEMA wakamatwe

    Dah! Tanzania yetu sasa inakuwa ni mali ya wahuni fulani,inamaana CHADEMA wanadhani sie mabwege? Wao wanataka wao wawe dini yetu,wao wawe miungu yetu,walimu wetu wanataka watuendeshe wanavyotaka,waende Kilimanjaro wakatawale huko wehu wao.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Nape Nnauye

    Muulize haya pia Dr. Slaa,anauchukuliaje udini ndani ya CHADEMA? Anajisikiaje kuona vyeo vinatolewa kutokana na undugu ndan ya CHADEMA? Anajisikiaje kuongoza chama chenye waropokaji wasio na nidhamu?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo akamatwa akiwanga

    Nahisi anataka kufuata nyayo za wachawi wenzie kama kakobe,anton lusekelo na wengine wengi
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini walioshindwa chaguzi ndo hupewa madaraka ya juu CCM?

    Slaa aliposhindwa upadri kanisani akapewa ukatibu mkuu wa chadema taifa na kuteuliwa kugombea urais au?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CCM inapohutubiwa na Mkuu wa Wilaya

    Kwani chadema muna uhusiano wowote na nccr/machali?
Back
Top Bottom