Elimu yetu: Kuuza miili UDOM ni matokeo...

Elimu yetu: Kuuza miili UDOM ni matokeo...

Mkuu kwa hiyo huamini!! Aisee!!Kuna kazi. Basi nenda Dodoma ukashuhudie kuingia na kutoka chuoni na mengine mengi!!
Sasa kuingia na kutoka chuoni ndo kunaweza kuprove kuwa wanatoka kujiuza chuo. Pale wanafunzi wengi wanakaa mtaani, sasa akiwa na discusion hadi late night akitoka kurudi kwake anajiuza etc.

Mimi Dodoma nimekaa sana. Zamani vibinti vilijidai wanafunzi wa cbe, Sasa UDOM.

Ninachopinga ni jinsi mnavyotaka watu waamini kwamba hali pale UDOM ni mbaya kupondukia
 
Hili ni wimbi wewe hata UDSM ni hivyo hivyo! sera huria za kibepari zinazoandamana na UFISADI ndiyo chanzo!!
Zamani maisha yakiwashinda walikuwa wanajirudisha HOME siku hizi huo ndio mtindo!! Nairobi yako waziwazi hata mabweni ni madanguro!! acha ubishi. Kemea UFISADI unawaangusha madada na mabinti zetu huko!!
SAUT Mwanza ukienda maeneo kama Villa park ndio wenyewe bila ubishi!! Alaah! siyo suala la kutetea Chuo kimoja tu!!
 
Kuna soko zuri pia, waheshimiwa ni wateja wazuri!! Nchemba upo!!!
 
baadhi ya wabunge wakisikia hizi taarifa watatamani hata Bunge liwe kesho nao waende wakajilie vyao, badala ya kuwaza jinsi ya kuwakomboa
 
Juu ya hili hata chuo hiki kikiitwa Kikwete University roho yangu itakuwa nyeupe kama theluji.
 
Tatzo co serekal wala hela' tatzo wadada wa udom ni warahc af ni washamba kupndukia
 
Kila binadamu anatumia kiungo kimojawapo cha mwili wake ili kujipatia kipato chake ili aweze kuishi. Wapo wanaotumia akili zao kuuza katika soko na kujiapatia mahitaji yao.

Mfano wahasibu, wahandisi, wanasheria,madaktari orodha ni ndefu. Akili ni kiungo cha mwili kama kiungo kingine chochote. Waliojaliwa akili hawakujaliwa ukahaba. Lakini wapo waliojaliwa vipawa zaidi ya kimoja kama vile wenye jinsia mbili, huamua kutumia kimojawapo. Wapo wanaotumia miguu kucheza mpira au kukimbia au hata kuruka.

Hawa nao wanajipatia ujira utokanao na matumizi ya viungo vya miili yao kama atumiavyo kahaba kiungo chake. Wapo pia wanaotumia sauti zao kuimba na kuburudisha jamii kwa ujira wa kuuza kazi zao za sauti zao. Wapo wapiga mieleka, ngumi nk. Wote hawa tunasema wanatumia vipawa vyao kujiendeleza kwa faida yao.

Katika uchumi wa kiliberali chochote kinauzika na kunulika.Hawa dada zetu makahaba wanatumia viungo vya miili yao kama wanavyotumia watu wengine kuuza na kujipatia ujira. Katika soko kuna kuuza vitu (products)na huduma(service) Huduma ni kama benki, bima, hoteli ngono nk.

Uhuru tulipata mwaka 1961, wacha watu wawe huru kufanya walitakalo maadamu hawavunji sheria. Tabia ya mtu hutembea nayo popote anapoenda. Kama mtu ana tabia ya ukahaba (mjasiriamali wa ukahaba) hawezi kuiacha kwa sababu tu anasoma Chuo kikuu. Ni kama mtu mwingine yeyote anayeweza kuzungukwa na rasilimali nyingi lakini anashindwa kuzibadilisha kuwa vitega uchumi.

An Enterprenuer is the one who sees the opportunity that others don't see
kwa hiyo kujiuza sio dhambi na wala sio kosa. na kahaba unamwita mjasiliamali we ni hatari kwa mstakabali wa taifa.
 
Hizi taarifa zinahitaji kufanyiwa utafiti zaidi ili kujua ukubwa wa tatizo. Offcourse katika mkusanyiko mkubwa kama ilivyo katika vyuo vingine huwezi kukosa watu wenye tabia hizo.

Kuna kasumba ya wadada poa kujipaisha ili kuvutia wateja. Kinachofanyika ni hawa dada poa wa Dom kuwa hadaa wateja wao kuwa ni wanafunzi wa udom. Wateja wao nao bila kufanya kutafakari hujikuta wakiamini hivyo na habari kuendelea kusambaa. Wabongo kwa kuamini umbeya:

Ni kweli changudoa wanaweza kujifanya wanafunzi. Lkn changu doa na wanafunzi wanatofautiana ktk mambo mengi kama vile swaga, chaji ya service na make-up. Ni rahis kuwatofautisha. Wanafunzi kweli wanajiuza
 
Ndugu yangu kama ni swala la dhambi au kosa kila mwanataaluma kwa namna moja au nyingine anatenda dhambi. Chukua mifano michache Daktari anatoa mimba isivyo halali, Mhasibu anaiba fedha za uuma kutumia elimu yake, Mhandisi anajega jengo chini ya kiwango cha juu anatia mfukoni, Mwansheria anapindisha haki kwa maslahi yake, Mwandishi wa habari. Wote hawa wanauza mapenzi ni MAKAHABA. Maana wanauza kile watu wanakipenda mno kama ngono tu. Bora mkono uwende kinywani. Tusiangalie kibanzi ili hali kibanzi kiko ndani ya jicho. Asiyetenda haya na awe wa kwanza kuwatosa mawe wadada zetu hawa. Hapana msafi miungoni mwetu kila mmoja amepungukiwa na utukufu. Tatizo tunachagua dhambi, lakini kwa Mungu hakuna dhambi kubwa na ndogo
kwa hiyo kujiuza sio dhambi na wala sio kosa. na kahaba unamwita mjasiliamali we ni hatari kwa mstakabali wa taifa.
 
Ndugu yangu kama ni swala la dhambi au kosa kila mwanataaluma kwa namna moja au nyingine anatenda dhambi. Chukua mifano michache Daktari anatoa mimba isivyo halali, Mhasibu anaiba fedha za uuma kutumia elimu yake, Mhandisi anajega jengo chini ya kiwango cha juu anatia mfukoni, Mwansheria anapindisha haki kwa maslahi yake, Mwandishi wa habari. Wote hawa wanauza mapenzi ni MAKAHABA. Maana wanauza kile watu wanakipenda mno kama ngono tu. Bora mkono uwende kinywani. Tusiangalie kibanzi ili hali kibanzi kiko ndani ya jicho. Asiyetenda haya na awe wa kwanza kuwatosa mawe wadada zetu hawa. Hapana msafi miungoni mwetu kila mmoja amepungukiwa na utukufu. Tatizo tunachagua dhambi, lakini kwa Mungu hakuna dhambi kubwa na ndogo

Wakuu naomba tumsome mkuu asungwilemwaifunga, naona anaujumbe ambao kidemokrasia unamaana pasipo kuangalia imani zinasemaje.

Ila alivyomalizia ndio nimependa zaidi... Tatizo tunachagua dhambi, lakini kwa Mungu hakuna dhambi kubwa na ndogo.

Mungu ibariki Tanzania!
 
MUSHI UDOM 08 Tatizo hili lisitazamwe tu kwa kuangalia mikopo, tanzania wanabahati wanapata mikopo na kukabidhiwa hundi au kuingiziwa kwenye account zao. Nchi nyingine hakuna pesa itakayoingia kwenye account ya mwanafunzi, bali huingizwa kwenye account ya chuo kwa malipo ya malazi na account ya kampuni inayolisha wanafunzi, hivyo mwanafunzi ni kuingia na kujaa tele ndani ya cafeteria na kula chakula tani yake, kisha kulala huko kwenye domitory, kama anapanga basi mpangishaji ndiye atakayelipwa na bodi ya mikopo, naona bongo tambalare sana.

Vyuo na shule mbalimbali Tanzania hawana program za wanachuo kuwa na shughuli mbalimbali baada ya masomo kama program za michezo mbalimbali ikiwemo riadha. Baada ya madarasa wanatakiwa kuingia kwenye mazoezi ya michezo na riadha, wakirudi wako hoi ni kulala tu. Lakini hili la wanachuo ni kitabu tu wakisha choka wanajikuta kuandamwa na mawazo ya kimapenzi na kuishia kupata erection yenye kutaka kutulizwa, hiyo ndiyo nature. Program za michezo zina umuhimu wake kwa afya na maadili ya wanafunzi vinginevyo matokeo ndio hayo sasa. Hata kama wangepata mikopo kwa wakati tatizo hilo halitaisha kama vyuo haviweki mikakati ya program mbalimbali za wanafunzi na wanavyuo baada ya vipindi vya madarasani.
 
Last edited by a moderator:
Kila binadamu anatumia kiungo kimojawapo cha mwili wake ili kujipatia kipato chake ili aweze kuishi. Wapo wanaotumia akili zao kuuza katika soko na kujiapatia mahitaji yao.

Mfano wahasibu, wahandisi, wanasheria,madaktari orodha ni ndefu. Akili ni kiungo cha mwili kama kiungo kingine chochote. Waliojaliwa akili hawakujaliwa ukahaba. Lakini wapo waliojaliwa vipawa zaidi ya kimoja kama vile wenye jinsia mbili, huamua kutumia kimojawapo. Wapo wanaotumia miguu kucheza mpira au kukimbia au hata kuruka.

Hawa nao wanajipatia ujira utokanao na matumizi ya viungo vya miili yao kama atumiavyo kahaba kiungo chake. Wapo pia wanaotumia sauti zao kuimba na kuburudisha jamii kwa ujira wa kuuza kazi zao za sauti zao. Wapo wapiga mieleka, ngumi nk. Wote hawa tunasema wanatumia vipawa vyao kujiendeleza kwa faida yao.

Katika uchumi wa kiliberali chochote kinauzika na kunulika.Hawa dada zetu makahaba wanatumia viungo vya miili yao kama wanavyotumia watu wengine kuuza na kujipatia ujira. Katika soko kuna kuuza vitu (products)na huduma(service) Huduma ni kama benki, bima, hoteli ngono nk.

Uhuru tulipata mwaka 1961, wacha watu wawe huru kufanya walitakalo maadamu hawavunji sheria. Tabia ya mtu hutembea nayo popote anapoenda. Kama mtu ana tabia ya ukahaba (mjasiriamali wa ukahaba) hawezi kuiacha kwa sababu tu anasoma Chuo kikuu. Ni kama mtu mwingine yeyote anayeweza kuzungukwa na rasilimali nyingi lakini anashindwa kuzibadilisha kuwa vitega uchumi.

An Enterprenuer is the one who sees the opportunity that others don't see
Mcheza mpira atatetea mchezo wa mpira,
Mkulima hutetea kilimo
Mwalimu hutetea wanafunzi wake
Mchungaji hutetea waumini wake
Wote wako sahihi, lakini inapotokea kutetea mambo ambayo yanaharibu maadili hasa kwa vijana ambao baadaye wanategemewa kuwa ndio wenye kuzijenga familia zao hapo ndipo unapokuja kuelewa maana ya uhuru kuwekewa ukingo wa discipline, vinginevyo mambo kuacha yaendelee kama yalivyo ni maangamizi.
 
ukweli utabaki kuwa ukweli loan board nitatizo na nijanga kwa taifa. inauma sana kuona dada zetu wanajiuza kwa tsh 500 au 1000 kuna maswlai mengu sana yasiyo na majibu kama kweli ni hivyo dada zetu waangalie na utu wao, heshima waliyonayo kama wasomi. Pia kwa upande mwingine serkali ifumue mfumo mzima wa load board nje yahapo tutaendelea kuongeza ukimwi na kuandaa wasomi waliooza wanaosubiri kifo baada ya kuathirika na HIV
 
MUSHI UDOM 08 Nakubaliana na wewe juu ya uzembe wa serikali kwenye kuwapa stahiki zao timely hawa wanafunzi, but i differ with you by not talking something about the behavior of students themselves.There is NO any justification to sell themselves for whatever reason it could be! The level of education they have , at lest should make them to value themselves and not selling themselves like clothes! Kama ni shida watu wengi wanazo, but why dont they opt for prostitution as these students do?
 
Last edited by a moderator:
nasema waacheni wale wote wasiosikia na waliojiondolea ufahamu juu ya adhabu nilioiandaa kwa ajili yao...nimewaandalia moto mkali wa blue: Mathayo 12:6-9
 
We unadhani ni udom pekee?? Kila chuo kuna haya mambo...yameshakuwa sheria vyuoni maana kawaida ni kama sheria
 
Tuache kutetea ujinga jamani,si kweli kuwa kuchelewa kwa mikopo ndio sababu,mi nipo mtwara kwa miaka mingi,nimepata ufahamu wa tatizo hili kupitia wanachuo wa saut,hanasa ndio sababu kubwa ya tatizo hili,huku wanajiuza tena kwa kukulazimisha kabisa.
 
Back
Top Bottom