hellow, mm ni me natafuta mchumba wa kike.
sifa zangu;
umri wangu ni miaka 35,ni mfanyakazi naishi nzega,mrefu,mweusi kiasi.
sifa za nimtakae
awe mkristo,elimu kuanzia kidato cha nne,umri miaka 25-30. Haijalishi hata kama hana kazi maana uwezo wa kumtunza ninao.
Kwa walio serious,tafadhali...