Rangi ya ch*pi

Watanzania tumefikia huku kweli? Badala ya kuwaza vitu vya maana tunaongelea rangi ya chupi!

Hoja za kujadiliwa zipo nyingi: Mtwara mambo bado mabichi, Elimu yetu inadidimia kila kukicha, Nani anang'oa watu kucha na meno, Tembo na twiga wanapanda ndege kwa passport toka wapi, Kwa nini watu wanapishana angani kama tai, Rasimu ya katiba, nk.

ndo maana kuna jukwaa la elimu
jukwaa la siasa
jukwaa la udaku na umbea
jukwaa la utani nk
 
Tupotee mara ngapi mkuu, cha kufanya ni kumuomba Mungu atutoe kwenye hili janga tu.

Nchi imemezwa na mambo ya ajabu ajabu, juzi kati amefariki Dokta bingwa wa magonjwa ya moyo His Excellence Dk. Massau aliyepigana usiku na mchana kuokoa maisha ya watanzania walio wengi enzi za uhai wake, lakini inasikitisha kuona hata media hazikucover msiba wake kiasi alichopewa muimba "mitungi mikasi".

my dear, that is life tu.It always never fair and very complicated to understand.

take it easy
 
Tupotee mara ngapi mkuu, cha kufanya ni kumuomba Mungu atutoe kwenye hili janga tu.

Nchi imemezwa na mambo ya ajabu ajabu, juzi kati amefariki Dokta bingwa wa magonjwa ya moyo His Excellence Dk. Massau aliyepigana usiku na mchana kuokoa maisha ya watanzania walio wengi enzi za uhai wake, lakini inasikitisha kuona hata media hazikucover msiba wake kiasi alichopewa muimba "mitungi mikasi".

he hee he. ndo maajabu ya Tanzania hayo ndugu yangu tunapenda kushabikia mambo mepesi, unajua msiba huu ulikuwa wa kitaifa zaidi. chezea watz weye
 
Watanzania tumefikia huku kweli? Badala ya kuwaza vitu vya maana tunaongelea rangi ya chupi!

Hoja za kujadiliwa zipo nyingi: Mtwara mambo bado mabichi, Elimu yetu inadidimia kila kukicha, Nani anang'oa watu kucha na meno, Tembo na twiga wanapanda ndege kwa passport toka wapi, Kwa nini watu wanapishana angani kama tai, Rasimu ya katiba, nk.

Kwani wewe huvai chupi mpaka usiziwazie???
 
kuna rafiki yangu sana yeye akifika kazini lazima kumetisha swali la muhimu ni rangi gani umevaa na ndani siku moja kavaa nguo rangi ya chui vipi leo ndani kasema amevaa mabaka mabaka. najua akisoma hapa atakumbuka na kufurahi sana rangi ya vyupi hivyo, nampa ofa j3 nitampeleka dukani achague anakopenda lakini ya kwanza mabaka mabaka.
 
Kwanza nikikutana na mwabe wa aina hii ndani ya bag lake
siwezi amini ni lakwake, nitaanza kutafuta tochi nimulike mwizi
halafu ananihakikishia ni lake, na tinga kabisa for demonstration
Hapo hapo naangusha kilio, narudi kwetu na nakataa baraza.

dah! kwa hizi outfit nilizoona kwenye huu uzi nimejikuta naisoma signature yako ndivyo sivyo.
hebu jaribu kuweka opposite ya cessation halafu uisome sentensi yote, utaelewa namaanisha nini
 
Nimekukosea nini teacher?

i don't deserve this ndugu yangu.
babu nisamehe sana,
ila i just wantes to show you the otherside of globalization.
imagine kweli hawa ni wanaume wanatangaza vyupi...........
sisi wadada tuna gstring wao nao wamekuja na gstring zao
 
Ha ha ha, we are vere
bize, akchwale hata wabunge wako bize wanasinzia

Ujue, kwa watu walio bize kama Bill Gate, huwa wanawaamuru wake zao
'rara nikurenge', hawana muda kwa kutafutiana apetaiti

ha ha ha ha haaa,ngwea,east zuuu beyb,chamber squadd
 
Mwanaume akikuvalia ya blue na madoa doa ya njano inapendeza sana
(Kama akikosa ya madoa doa anaweza kuvaa ya vipepeo vya njano pia)
KAma akishindwa kunivutia kwa rangi avute kwa muundo na ubunifu.
string-homme-lateral.jpg
string-latc3a9ral-blanc.png
o-WORST-UNDERWEAR-EVER-570.jpg

Ya mshipi mrefu:
string-latc3a9ral-body-flash-1825b2.jpg
cc Kongosho na King'asti (Mnaweza waita EMT na The Boss pia, waje wapime)

hizi zenye kupita kwa mku..du siwezi vaa mwanaume labda wale wa upande wa uleberali...
 
Kwani wewe huvai chupi mpaka usiziwazie???
Kuna vitu vingi vya kuwazia hivyo niliviwaza toka enzi za VIP mpira ukikatika unaikuta kifuani, samahani kwa umri wako sijui hata kama unazijua, nisije kukomaza bure.

Sidhani kama sasa hivi nina muda wa kuwazia vitu hivyo tena, ila wewe unaweza kuendelea haina shida, kuna umri ukifika utaacha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom