Habarini wakuu,
Tarehe 25/1/2020 nategemea kupokea Mzigo wangu wa SAMAKI kutoka Mwanza kuja Moshi-kilimanjaro samaki ni sato na sangara wazuri na wakubwa kabsa.
Naendelea kutafuta soko la samaki, Kama mtu binafsi au taasisi unahitaji naomba tuwasiliane.
Napatikana Moshi, karibuni Sana wakuu...