Msaada: Nimeibiwa simu yangu

Msaada: Nimeibiwa simu yangu

Sasa polisi wakimkamata hayo ma fidia wanakula wao kwa kumtisha kuwa simu imeibiwa na mtu alieibiwa kakutwa kafa hivyo atoe hela za kutosha ilj msala umuepuke.
POLICE NJAA JITAFAKARINI SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kumtisha, huyo mkutwa na simu ni anamakosa kisheria hakuna cha vitisho wala nn, sheria ni kweli inamuhukumu.
Na nilazima kulipia fidia zote
Mwenye mali hawezi kutozwa fidia.
 
Hii mpaka mitandao ya simu mfano Voda,Tigo n.k ila napo kule wewe raia huwezi kupewa taarifa za mteja wao isipokuwa tu uje na wahusika wa hiyo sheria ya Cyber au mahakama.Au uwe na rafiki akusaidie kiwizi wizi
Asante kwa comment yako mkuu,umesema niende kitengo Cha cyber ila umesema wale wa kitengo wakiipata hawatanipa, Kama ni hyo Kuna sababu gani ya kwenda?

Hakuna utalamu wa kujua huyu mwizi wangu ameweka laini ipi kwa simu yangu? Nikishaipata tu namba ya mwizi tayari mchezo utakuwa umeisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi kwa kutumia kitengo cha CYBER wanauwezo wa kuona mpaka line mpya itakayokuwa imeingizwa kwenye hiyo simu,cha muhimu pia ni kuwapigia customer care wa mitandao ya line zilizokuwepo kwenye hiyo simu ili wazifunge kwa muda wakati wewe ukiendelea kuifuatulia simu yako...
 
Skuizi simu ikiibiwa,inabadlishwa imei fasta shughul imeisha...hao police jamaa akienda atapoteza mda na pesa yake tu...Hiki kitengo bado changamoto kwa raia...
Polisi kwa kutumia kitengo cha CYBER wanauwezo wa kuona mpaka line mpya itakayokuwa imeingizwa kweny hiyo simu,cha muhimu pia ni kuwapigia customer care wa mitandao ya line zilizokuwepo kwenye hiyo simu ili wazifunge kwa muda wakati wewe ukiendelea kuifuatulia simu yako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Skuizi simu ikiibiwa,inabadlishwa imei fasta shughul imeisha...hao police jamaa akienda atapoteza mda na pesa yake tu...Hiki kitengo bado changamoto kwa raia...

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua kuna uzembe maana hata hao wanaobadilisha hizo IMEI walipaswa kufuatiliwa na kukamatwa kwakuwa ni kosa kubadilisha hizo IMEI,kiukweli ni kuwa bado kuna mapungufu makubwa kwenye hiki kitengo...
 
Nenda polisi kuna kitengo cha CYBER sema wale mbwa wakiipata hawairudishi kwako wanakula hela ya kukufanyia kazi then wanakula hela ya mtu aliekamatwa nayo kwa kumsingizia siku ya kuibiwa simu kulikuwa na laptop ya kiasi cha sh 1.9mil yaani in short walitakiwa waisaidie jamii sema wale mbwa wamekuwa tatizo kwenye jamiii.
NINAO USHAHIDI NATAMANI NIWATUKANE SEMA NITEGEMEA MTEGO WAKAJUA MIMI SIO JINGA LAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa vijana wa kitengo cha cyber ni janga sana mkuu wanauzi wanakera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda polisi kuna kitengo cha CYBER sema wale mbwa wakiipata hawairudishi kwako wanakula hela ya kukufanyia kazi then wanakula hela ya mtu aliekamatwa nayo kwa kumsingizia siku ya kuibiwa simu kulikuwa na laptop ya kiasi cha sh 1.9mil yaani in short walitakiwa waisaidie jamii sema wale mbwa wamekuwa tatizo kwenye jamiii.
NINAO USHAHIDI NATAMANI NIWATUKANE SEMA NITEGEMEA MTEGO WAKAJUA MIMI SIO JINGA LAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo napozipendea nchi za wenzetu huko ulaya,kwa kuwa na mashirika binafsi ya kijasusi na kipelelezi SHIDA HIZI ZA URASIMU WALIKUWA NAZO HUKO ZAMANI LAKINI BAADA YA TAASISI HIZI BINAFSI KUANZISHWA MAMBO YAKAWA SWAAFII KABISA.PIA MASHIRIKA BINAFSI HUWA NA UWAZI ZAIDI.
 
Acha kupoteza muda, bora ufanye mambo mengine maana uwezekano wa kuipata ni mdogo sana pengine 0.0001
Polisi watakusumbua na mwisho wa siku hutapata simu yako, nina ushahidi nilipoteza simu yangu mwaka jana July , kwa jitihada nilizoweka ningeshapata.

Wale jamaa wapo kwa manufaa yao sio manufaa ya kusaidia jamii, wanaosaidia jamii ni wachache sana wengi wao ni matumbo yao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli wanaumiza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanunue nyingine.
Mwenzako anaweza kifaa kuuza kimoja kimoja.
Utasumbuka bure au anaweza kuizima asiwashe miezi sita.
Utatrace vipi?
 
Nenda polis, wape Iyo IMEI # nahisi gharama za ufatiliaji ni hamsini elfu .

Utaipata ndani ya masaa 48

Nilipata yangu
 
Nenda polisi kuna kitengo cha CYBER sema wale mbwa wakiipata hawairudishi kwako wanakula hela ya kukufanyia kazi then wanakula hela ya mtu aliekamatwa nayo kwa kumsingizia siku ya kuibiwa simu kulikuwa na laptop ya kiasi cha sh 1.9mil yaani in short walitakiwa waisaidie jamii sema wale mbwa wamekuwa tatizo kwenye jamiii.
NINAO USHAHIDI NATAMANI NIWATUKANE SEMA NITEGEMEA MTEGO WAKAJUA MIMI SIO JINGA LAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi walinipiga 80..sema kupatikana kwa simu yangu nilishukuru.
 
Back
Top Bottom