Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,681
- 3,065
Katika kutembea tembea kwenye mtandao wa Twitter nikakutana na post yenye ujumbe kutoka kwa mkenya account yake yenye jina la Abuu Sakeena aki tweet ujumbe kuwa Mbwana Samatta ni mshambuliajiwa Kenya
Kwa nini wakenya wanaendelea kutangaza vitu vya nchi yetu na raia wa Tz kuwa wanatoka katika nchi yao.
Wakiona watu ambao ni popular au wana influence kimataifa wanatangaza kuwa wanatoka katika nchi yao .
Wakiona natural resouces ambazo ni most attractive wanatangaza kuwa zipo nchini kwao..Mfano mbuga za wanyama kama Serengeti, Ngorongoro na mlima Kilimanjaro muda mrefu wamekuwa wakinufaika na matangazo hayo wageni wakifika kwao wanakutana hivyo vivutio havipo nchi kwao isipokuwa vipo Tz.
Wanaingiza mapato kwa ujanja huo na sisi tunawaangalia tu..
Njia gani ni sahihi ambayo tunaweza kuitumia kuwadhibiti wakenya hao ili kuacha udhalilishaji kwa Taifa letu ..
.Je kama Taifa tunakwama/tunashindwa wapi kuwadhibiti na kuvitangaza vivutio vyetu hadi wakenya watutangazie tena kwa kufanya robbing ya namna hiyo.
Post hii inakera sana...