Natafuta soko la samaki

Shikanyanga

Member
Jan 10, 2020
24
14
Habarini wakuu,

Tarehe 25/1/2020 nategemea kupokea Mzigo wangu wa SAMAKI kutoka Mwanza kuja Moshi-kilimanjaro samaki ni sato na sangara wazuri na wakubwa kabsa.

Naendelea kutafuta soko la samaki, Kama mtu binafsi au taasisi unahitaji naomba tuwasiliane.

Napatikana Moshi, karibuni Sana wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom