Msaada: Nimeibiwa simu yangu

Msaada: Nimeibiwa simu yangu

kui trace simu polisi ni laki moja..utalipa na hautopata simu.

watakwambia haijaonekana..watakupa sababu kuwa wezi wa siku hz wanaiba wauze spare tu..mashine yenye IMEI number hawana mpango nayo

Na ili uweze ipata simu yako lazima anayeitumia huko awe ameiwasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ne
Sizani Kama atakuwa na Hilo wazo la kubadili IMEI namba,naomba unisaidie huo ujanja wa kuipata mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilingana na lini yako uliyokua ukitumia, kama ni Vodacom nenda vodashop kama ni halotel nenda haloshop kisha waambie hivi...

Naomba kujua simu yenye imei fulani xxxxxxxxxxxx imewekewa lini yenye namba ipi???
Watakwambia kama ipo hewani au la.
Au watakwambia kwa sasa hiyo simu imewekewa laini gani.
Then utaendelea na uchunguzi baada ya kupata namba ya mtu mwenye simu yako.

Watakusaidia tu, ikiwezekana wakishindwa watakwambia nenda kamuone nani.
 
Mkuu kituo cha Polisi . nenda kituo cha Polisi Mkuu sio vituo vya kulelea watumiaji wa Dawa zakulevya.
Naelewa kituo cha polisi, lakini kituo kipi ulienda wakakusaidia bila longo longo maana huduma pia hutofautiana kati ya kituo na kituo

Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
 
Mkuu ni muda umepita aiseee, nilikua mkoani huko !!!
Naelewa kituo cha polisi, lakini kituo kipi ulienda wakakusaidia bila longo longo maana huduma pia hutofautiana kati ya kituo na kituo

Sent from my ONEPLUS A5010 using Tapatalk
 
Ne
Kilingana na lini yako uliyokua ukitumia, kama ni Vodacom nenda vodashop kama ni halotel nenda haloshop kisha waambie hivi...

Naomba kujua simu yenye imei fulani xxxxxxxxxxxx imewekewa lini yenye namba ipi???
Watakwambia kama ipo hewani au la.
Au watakwambia kwa sasa hiyo simu imewekewa laini gani.
Then utaendelea na uchunguzi baada ya kupata namba ya mtu mwenye simu yako.

Watakusaidia tu, ikiwezekana wakishindwa watakwambia nenda kamuone nani.
Ok Sawa mkuu Asante sana kwa ushauri mzuri!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom