Recent content by shiiiii

  1. S

    Donald Trump: Nitashirikiana na Urusi na China

    Kikubwa ni kuhakikisha dunia inakuwa salama, huyu Obama na Chama CHAKE cha Democratic nilikuwa nakiamini hapo awali kwa sasa Sina hamu nacho, msimamo wa Trumph kwa usalama wa dunia nimeupenda, Dunia Bila maelewano Kati ya USA na Russia ni Sawa na kuchezea gwala kwenye shimo la Choo
  2. S

    Walimu zaidi ya 600 wagomea kiwango cha posho kwa ajili ya semina

    Kumbe Hali hii kila mahali, Kuna wilaya fulani huko mara, watalipwa tsh 15000 kwa siku, najiuliza hiyo ni amri ya mkulu mwenyewe au mkuu wa wizara ya ualimu, acha dhuluma
  3. S

    Msaada; Usafiri wa kwenda Mbeya

    Unaokoa nini ndugu yangu
  4. S

    Ukame: Bwawa linalopakana wilaya Bagamoyo na Morogoro lakauka

    Tupiamo kapicha hapa tuone Hali halisi brother
  5. S

    Yale matofali ya kwenye maonesho/maadhimisho yanafaa kujengea nyumba?

    Fanya unajua kuliko wao uone kama mdebedo, ile ni moja ya taaluma ya kijeshi, na ina madaraja yake na majina tofauti Kati ya nchi na nchi
  6. S

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Huyu ni aina ya nyoka anayeweza kushambulia kwa hasira kali, uwezo wa kukimbia ni mkubwa Sana, hadhari kubwa inatakiwa unapovinjari maeneo hatarishi
  7. S

    Walimu zaidi ya 600 wagomea kiwango cha posho kwa ajili ya semina

    Kwani mwenye dhamana ya semina hiyo ni mkulu wetu au wadau
  8. S

    Ni kwanini katika maisha ya siku hizi kumekuwa na hali ya ndugu kwa ndugu kutoelewana?

    Ndo napata kuijua kweli ya kwa nini watanzania wamekuwa na roho mbaya tofauti na zamani
  9. S

    Mtumbuizaji kupewa bendera ya Taifa!

    Waziri wa utamaduni na michezo, mpira si jadi yetu waziri afanye nini?
  10. S

    Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

    Msidhanie story zingine ni kweli, ukipona shukuru mungu wako
  11. S

    Mkuu wa meza na ibada zinazopingana na Mungu

    hayo magwaride ndo mahala pake ati, itakuwa ajabu hayo yakifanyika kwenye majumba ya Ibada, si lazima kila kitu kimfurahishe kila mtu.
  12. S

    BAA LA NJAA NCHINI: Wananchi Kwimba wamsimamishwa Mkuu wa Mkoa wakiwa na mabua yaliyokauka

    Hali hii Bila Shaka ni janga la mwaka toka mwaka 1996
  13. S

    Jeshi LA Ivory Coast lakinukisha!

    Mzungu usimwamini labda awe maiti
  14. S

    Vyombo vya Ujasusi vyamshtukia Trump!

    Hiki ni kituko cha mwaka, fbi, cia na vinginevyo vkkiwa vya ulinzi, hainiingii akili eti mmarekani kadikuliwa na Russians, eti wamejua baada ya trump dume kushinda, am sure Clinton angeshinda wasingepiga kelele, big up Russian
Back
Top Bottom