Ukame: Bwawa linalopakana wilaya Bagamoyo na Morogoro lakauka

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,163
37,801
Wadau heshima kubwa kwenu,

Leo nimetembelea eneo kongwe ambalo ni mpaka wa mkoa wa Morogoro na Pwani, mahali ambapo wilaya ya Bagamoyo inapakana na Morogoro.

Nimekuta Bwawa limekauka kau, na halina Maji tuliozoea kuyaona hasa watumiaji wa barabara kuu ya Morogoro.

Binafsi nawapa pole waliokuwa watumizi na wanufaika wa Bwawa hili.
 
Itakuwa JPM kalikausha kama ambavyo bavicha watadai.
 
Back
Top Bottom