Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kushirikiana na Urusi na China, iwapo mataifa hayo yatashirikiana naye.
Katika mahojiano na Wall street journal.
Bw Trump amesema vikwazo vilivyowekewa Urusi hivi majuzi, vitaendelea kuwepo, japo huenda vikaondolewa iwapo Urusi itasaidia Marekani katika vita dhidi ya ugaidi.
Anatumai kwamba atakuwa na kikao na rais Putin hivi karibuni