Recent content by shigendi mashimbi

  1. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuoa

    Humu hakuna wanawake wakweli wengi ni matapeli tu
  2. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuoa

    Du hii ni Kali wanawake wa kuoa hawapatikani kwa njia kama hii utapata wa kula bata nao tu si wa kufunga ndoa nao zaidi ya hapo komaa kumuomba Mungu wako tu yeye ndo anajua akupe mke yupi
  3. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

    Sasa kama huyo dada alikubali kutoa tamu mwenyewe kwa hiari yake mwenyewe maana hakulazimishwa akubali kutoa tamu Bali na yeye alikuwa na hamu faida yake ndo hiyo analalamikia nini
  4. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

    Hapana usipanic hata kidogo cha msingi jaribu kumuulizia vizuri na kwa upole ili uweze kupata mengi zaidi kutoka kwa mkeo na utajua kila kitu hata namba ya simu utajua ni nani alie anza kumpa mwenzake
  5. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu nimemzimikia

    Usiogope kwani na yeye ni MTU mzima kama wewe atakuelewa tu
  6. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Kibonde wa Clouds FM ni hatari kwa redio hiyo

    Jamani Mimi cheti chake sijakiona kilivyoandikwa hilo jina hivyo sina uwezo/kuamini maana kuna usemi usemao usiamini ya kuambiwa heri ujionee mwenyewe au cheti chake wangekipost ili watu wote tushuhudie
  7. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

    Haikuwa ridhiki yake kwa kweli ridhiki yake IPO kwa mwanamke mwingine huyo hakuwa wake hata angemuoa basi ndoa isingedumu
  8. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mabasi yaruhusiwe kusafiri usiku

    Nalo neno
  9. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kunywa konyagi kubwa (Jibapa) ya 750ml

    Uamuzi ni wako
  10. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania Cheki huyu mwanamke anavyomkomoa mme wake baada ya kumsaliti

    Hiyo ni sheeda
  11. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania Focus Saanane: Ninamtaka Mwanangu Ben akiwa hai, amlaumu Mbowe

    Ila hili jambo lina mambo mengi sana kwa undani wahusika au mhusika yupo na wao wanamjua
  12. shigendi mashimbi

    JamiiForums Tanzania Hatuna umeme siku tano

    umeme wa uhakika mtaupata wako kwa ajili ya kuhamisha matumizi ya umeme kutoka kwenye mafuta mazito kwenda kwenye gas
Back
Top Bottom