Kama hawa Chenge, Tibaijuka, Muhongo, Ngeleja, Lowassa, Dau wapo, iweje hii mahakama ikose kesi?,

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Najaribu kuuliza tu kama hawa watu bado wapo hai na wanaishi nchi hii iweje hii mahakama ya mafisadi iliyojengwa kwa gharama kubwa za serikali ikose kesi ya kusikiliza?

Nashindwa kuielewa serikali ya chama changu aise!!!!!!
 
Siku atakayokufa Andrew C kama nikiwa hai, nitautafuna mshahara wangu wote kwa masaa 6 tu, God Knows how I HATE this guy!
 
Bado serikali inatunga kanuni za uendeshaji wa mahakama hiyo! sheria peke yake hazitoshi!
 
Siku atakayokufa Andrew C kama nikiwa hai, nitautafuna mshahara wangu wote kwa masaa 6 tu, God Knows how I HATE this guy!
Nadhiri hiyo umeweka Mkwawe itabidi uitimize japo kifo ni siri hatujui nani atatangulia kati yako na huyo mzee wa vijisenti
 
Walipiga kwa niaba ya chama ndiyo maana hatashitakiwa.Aliosema Chenge kwamba yeye ana vijisenti je wenye shilingi mnawajua?(HATUFUKUWI MAKABURI).Siri ya mtungi.
 
Nadhiri hiyo umeweka Mkwawe itabidi uitimize japo kifo ni siri hatujui nani atatangulia kati yako na huyo mzee wa vijisenti
kila ubadhilifu unaotokea nchi hii, huyu zimwi hakosekani EPA, RICHMOND, MEREMETA, IPTL, ESCROW nasikia hadi DOWANS yupo, sidhani kama kweye sakata la faru yohana anakosekana, hebu fikiria ni wangapi nchi hii wanalala njaa kwa ajili yake, ni wagonjwa wangapi wanakufa kwa kukosa huduma kwa ajili yake, ni vijana wangapi wanaenda jela kwa kukosa ajira kwa ajili yake, Eee Mungu tuondolee huu uchuro na mkosi kwenye nchi yetu.
 
Amina.
 
Najaribu kuuliza tu kama hawa watu bado wapo hai na wanaishi nchi hii iweje hii mahakama ya mafisadi iliyojengwa kwa gharama kubwa za serikali ikose kesi ya kusikiliza?

Nashindwa kuielewa serikali ya chama changu aise!!!!!!
Wakati wabunge wanapitisha muswada wa mabadiliko ya sheria ya ufisadi na uhujumu uchumi,,,walikubaliana sheria hyo mpya ingeanza kutumika kwa makosa yatakayo patikana baada ya sheria hyo kupitishwa na sio kwa makosa ya zamani
 
Back
Top Bottom