Recent content by Shida na raha

  1. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Anasema amechoka kuvumilia, tufanye mapenzi kabla ya ndoa

    Acha kumtukana mwenzio
  2. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Elewa huu mtego kwanza ndio utajua biashara nzima ya Forex

    Babu wa Mabibo uko poa? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ambaye ni marehemu nashangaa ananiomba urafiki Facebook

    Hapo kinachokuchanganya ni kitu gani sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni

    Wewe una chuki na waislam, watu wamesema boda boda ndo walimpa wewe unasema waislam wana choko choko usitafute la moyoni mengine tuache tuyahifadhi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni

    Kweli Tanga na Pemba baba mmoja mama mmoja yaani mpaka wewe unajua kipapai ni nini...?! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wasukuma na Wanyamwezi wengi walikuja Zanzibar na kutorudi tena usukumani akiwemo baba yangu mkubwa

    Na wewe ukiwemo. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wasukuma na Wanyamwezi wengi walikuja Zanzibar na kutorudi tena usukumani akiwemo baba yangu mkubwa

    Hiyo ni hiari ya mkaaji.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

    Ulishindwa kuwauliza waliokualika umekimbilia kuja kujitapa humu na wewe uonekane upo juu au??? Usitusumbue. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napata wakati mgumu sana kulala tangu nianze kuugua

    Wengine hawajui maana ya uradi unawapa wakati mgumu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Pia inategemea na ubora wa nazi zenyewe... Zikiwa kavu na kubwa bei inakua juu mara dufu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Nimechungulia leo mkuu samahani nilikua busy kidogo... Wote walio ni pm nimewajibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Ikiwa kuna mtu ana uwezo wa kuleta mzigo Zanzibar alete, ni biashara ambayo hautajuta. Ikiwa pia hauna ndugu, jamaa au rafiki mimi najitolea ila nitakupa mtu maana mimi niko busy na kazi zingine. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Habari za majukumu ndugu zanguni wa bara kote kwa ujumla. Uzi huu ulipotea kiasi fulani ila napenda kuwauliza tena wale ndugu zangu wanaotoka mkoa wa Tanga vipi mishe zinaendeleaje kuhusiana na nazi? Nimefufua tena uzi huu baada ya kuona nazi zimekuwa adimu na kupanda bei sana kisiwani...
  14. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipa wakati mgumu mpaka natamani niwe nae mbali.

    Tatizo sio kula nje kuna kitu nyuma ya pazio rekebisha uone kama utakatazwa. Mbona mimi nakunywa supu mara kibao na namuaga na pia sijawahi kufanyiwa hayo.
  15. Shida na raha

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwalimu level ya degree ni kiasi gani

    Siku hizi naona maswali ya mishahara kwa kada mbali mbali yamekua mengi... Kunani? ]Kupata hakuna kudogo
Back
Top Bottom