• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mshahara wa mwalimu level ya degree ni kiasi gani

M

Mr worldwide

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Messages
297
Points
500
M

Mr worldwide

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2017
297 500
wanabodi

Napenda kuomba kujuzwa zaidi kiasi cha mshahara wa mwalimu ngazi ya degree huanza na mshahara wa shiling ngapi kwa mwezi pindi tu wanapoajiriwa na serikali

lakini pia wanapoanza kazi hulipwa shiling ngapi kama pesa ya kujikimu

nawasilisha
 
Chifyono

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Messages
681
Points
1,000
Chifyono

Chifyono

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2017
681 1,000
poleni sana walimu

mshahara wa mwalimu plus makato ya CWT, PAYE, NSSF ni kiduchu sana ukilinganisha na elimu na uzito wa kazi
 
majoto

majoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
1,949
Points
2,000
majoto

majoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
1,949 2,000
Unadhani ni sahihi kupost hii document kwenye mtandao?
Ni sahihi kwa kuwa ni document yake na amefanya hivyo bila kulazimishwa. Tena hii inasaidia na wengine wajijue maana inaonekana kuna makato yanatofautiana bila sababu za msingi. Biashara ya siri siri na kuficha ficha mambo inaumiza wengi
 

Forum statistics

Threads 1,402,694
Members 530,969
Posts 34,402,487
Top