Recent content by sheva2000

  1. S

    JamiiForums Tanzania Usafiri upi mzuri wa kutoka Moshi kwenda Mbeya?

    Panda Gracious safari 'the navigator ' ila inaanzia Arusha na unaingia mbeya mapema kabisa ila hizo basi za kupitia chalinze lazima mlale njiani
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini kila binti mtaani ananiamkia shikamoo

    Haijalishi we msomeshe tu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Safari ya Dar Mwanza kuna hili basi ni majanga

    sasa likienda mwendo kasi pia maneno,lipi jema hapo?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Magari ya serikali na matumizi ya hovyo

    Wewe ni jipu unatakiwa kutumbuliwa pia
  5. S

    JamiiForums Tanzania Magari ya serikali na matumizi ya hovyo

    Na hilo jipu namba 4 ni kwa ajili ya kubeba mkaa wa bosi njiani wakati dereva anarudi dar
  6. S

    JamiiForums Tanzania Magari ya serikali na matumizi ya hovyo

    mm bosi wangu anaishi mbweni na mm gongo la mboto na lazima nifumfuate nyumbani kila siku asubuhi ndio twende mjini ofisini mjini(posta)
  7. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma hawaruhusiwi kumiliki biashara, mali na vitega uchumi kupitia taaluma zao?

    Ni ruksa mtumishi wa umma kuwa na kazi nyingine itakayomuingizia kipato,kikubwa tu wakati wa kutaja mali alizo nazo kwenye fomu za maadili lazima ataje hivyo vitega uchumi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Apandishwa kizimbani kwa kumuambukiza UKIMWI mpenzi wake

    Mleta mada mbona kama umekurupuka,jinc ulivyoandika kwani mtu kama amekutwa anakunywa hizo ARV's ndio kuambukiza?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Wameru ni wameru na wachaga ni wachaga
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nyalandu vs Maghembe: Nani nafuu kwa Wizara ya Utalii?

    Inasikitisha kuona J4 kateuliwa kuwa waziri wakati katibu wa chama na msemaji wa chama walishamsema sana kuwa huyo ni miongoni mwa waziri mizigo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Kuna mwingine alikuwa anaitwa Dominic Chilambo ,Beni Kiko ,Barnabas Simluge, Salama Mfamao, Ahmed Jongo Malima Ndelema Omari Jongo Nazili Mayoka Siwatu Luanda Karim Besta Halima kiemba Halima Mchuka Shafii Makosa Zawadi Machibya
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mashirika ya umma yaliyolaumiwa kutafuna pesa hovyo kama haya?

    Umesahau Ngorongoro(NCCA) nako ni jipu pia
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wasaliti wa Jose Mourinho!

    Tatizo la chelsea ni kuwa walivunjika moyo baada Mourinho kumfukuza yule daktari wa kike jamani! sasa ngoja yule daktari(Eva) arudi stanford muone vijana watakavyopiga mpira
  14. S

    JamiiForums Tanzania Unatumia maneno gani au ishara gani kuomba unyumba kwa mwenzi wako

    unapiga keyboard kwa mama boke na yy ataitikia tu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Unatumia maneno gani au ishara gani kuomba unyumba kwa mwenzi wako

    ha ha ha! uwiiiii jamani humu ndani raha kweliiiii
Back
Top Bottom